Top funniest member in JF ever..

Saida said yeye uwa anauza vitu vya ndani tu mara kikombe mara sturi na huwa ana hasira sana[emoji23][emoji23]
 
Umempendelea mkuu
hawa ndio wake wakiambia kwenye mtihani wachague maswali ma3 ya kufanya wao wanafanya yote na kutandikwa [emoji778]
No marks less than 85 ... Frauchdete. Curriculum .. Intercaleted africans ... Dearly
 
Ipo siku atauza hadi chupi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ana hasira mda wote yaan unaweza ukamuuliza bei ya kitu anachouza ukashangaa anakuwa mkali[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…