Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Madame S kuna uzi wako mmoja huwa nautafuta sana sijui haukuwa wewe au nilikufananisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupenda ... Hivi naweza kukuoaKwenye nyuzi za forex kuna jamaa alikuwa anauliza "sasa jamani mmefikia maamuzi gani" alikuwa ananichekesha sana,yaan yeye hajadili chochote anakuja kuuliza tu hivyo
umemsahau Daudi mchambuzi,duke,Seneta,
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji35][emoji15][emoji35][emoji15][emoji35]mtajeLabeka mama.
Kuna mtu kanambia umeniita, eti ni kweli?
Haya nambie jambo zuri uliloniitia kabla yule jamaa yako mwenye wivu kama jogoo la shamba hajaamka...
Mambo ya kifamilia hayakuhusu mzee baba[emoji35][emoji15][emoji35][emoji15][emoji35]mtaje
Hongera zako kwa kutofanya hicho kituMatusi
Future impossible tenseHivi mmeskia ... Yanga katwaa epl
Hivi tense ndo nini .... Ndo yale maganda meusi ya pipiFuture impossible tense
[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23]Hivi tense ndo nini .... Ndo yale maganda meusi ya pipi
Tumia lugha rahisi mkuu .... Just say ilch werd doit " thats german freuchndse .... Hivi nikimtokea demisd na hizi swaga nkajifanya mtu wa german huko au china baby sio usa baby atanikataa ??? !![emoji15][emoji15][emoji23][emoji23]
Hela nilizonazo .... Hesabu namba zako za simu .... Sina lots of wordshuna hela tatizo
Lijamaa la kutambalizia kunako unyabeni[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili jamaa wanalihanya balaa hapa jf