Top funniest member in JF ever..

Top funniest member in JF ever..

Mi nshajiandaa mkuu mpaka nyayo zake akito toi nnazo mpaka ukucha wake nnao mkuu ... Au mpaka tupate machoz ya samak
[emoji102][emoji102][emoji872][emoji40][emoji40][emoji40][emoji124][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Usikimbie mkuu njoo hapa ... Uzungumze na mchaw mwenzako ... Maana jana nlivyoenda kuroga white house ... Vituko nlvyokutana navyo kutoka kwa bwana trump nlshtuka ... Kumbe naye mwenzetu ... Tena aliniuliza namba yako ... Nikampa ... Hivi kwan bado hajakutafuta
 
Dogo umenikosea sana heshima kuniita boya ila nakukaribisha Bunju kwenye hekalu langu kesho upige lunch na dinner maana naamini huko kwako huwa hushibi ndiyo sababu ya kuanzisha thread kila mara.

Pia usiahau kuniletea mtu wa kunioshea hii helkopta yangu mpya niliyonunua juzi kwa pesa cash
 
Ile buku tano nlyokukopa wiki juzi mbona hunrudshii we dogo
 
Dogo umenikosea sana heshima kuniita boya ila nakukaribisha Bunju kwenye hekalu langu kesho upige lunch na dinner maana naamini huko kwako huwa hushibi ndiyo sababu ya kuanzisha thread kila mara.

Pia usiahau kuniletea mtu wa kunioshea hii helkopta yangu mpya niliyonunua juzi kwa pesa cash
Wewe unawezana Na Bitoz ndo kiboko yako
 
umekutana Na chizi mwenzio
Yaan hadi unchekeshe .. Mm it means upo talented sana aisee hahaah daah hahaha hahaha hahah dah . .. Hahaha nacheka tu hapa yaan hahaha hahaha ... Yaann haahhahahahahhahahahahaahahahah
 
kwakweli huyu do go ananiacha mbavu hoi kila nikiona koment yake
 
Back
Top Bottom