Top funniest member in JF ever..

Top funniest member in JF ever..

Kwani mimi huwa nachekesha ? labda kule jamii photos tu ......hujaona thread zangu kule intelligence ?
Hata mi namshangaa huyu da vinci hajaona hoja zangu kule kwa ma giriti sinka
 
kwa mikwara tu kajaliwa aaisee.
IMG_20180910_190147.jpeg
Huyu mtu siyo mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mke wangu haitwi sky Eclant... anaitwa Sky Eclat ... huyo dadaako mpeleke kwa wakurya wamfanye punching bag.
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji49][emoji83][emoji84][emoji88][emoji34][emoji49][emoji83][emoji84][emoji88]
 
Back
Top Bottom