Top list ya watu maarufu duniani wanao julikana kwa jina moja tu (mononymous people)

Ila hilo namba saba "7" umeliandika kichokozi kwa sababu zako binafsi πŸ˜‚

We jamaa bana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ
 
Mbona wapo wengi tu, humu ukimtaja MPWAYUNGU walimu wote wanakuelewa bila ata Ya kuongeza neno VILLAGE.......
 
Ila

unaweza kuwataja kwa jina moja tu na ukaeleweka una mzungumzia nani
Kwa mantiki hiyo wapo wengi:
Newton, Faraday, Galileo, Plato, Obama, Trump, Jakaya, Copernicus, Kepler, Hitler, Putin etc
 
Zumaridi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 


Zuchu
 
Haahah 🀣🀣🀣 plato hakuzaliwa na Aristocles na hilo wala sio jina lake 🀣🀣🀣🀣
Ooooh! Hujanielewa,plato ni nick name lakini majina yake kamili ni arstocles ariston
 
Leo ndo nimegundua watoto wa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…