DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Anhaa Kwa hapo nakubaliana na wewe Mkuu Safi sana nikuktana na wapenda Phylisophy kama wewe huwa nawafanya marafiki..... Plato, au Platon, lilikuwa ni Jina la kiuandishi , ambalo inasemekana alipewa na Mwalimu Wa masumbwi mmoja kutokana na Mwili wake na kifua chake (Kama mama Samia anavyosemaga "Na kifua Chako")Ooooh! Hujanielewa,plato ni nick name lakini majina yake kamili ni arstocles ariston
Ukimsoma Alexander Polyhistor, alipokuwa ananukuliwa na mwandishi mmoka aitwaye Diogenes, ndo aliwahi kutaja jina halisi la Plato kama Aristocles, son of Ariston kutoka Athens...
Mkuu asante sana kwa kunifanya Nizidi kumbuka Phylosophy