DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Anhaa Kwa hapo nakubaliana na wewe Mkuu Safi sana nikuktana na wapenda Phylisophy kama wewe huwa nawafanya marafiki..... Plato, au Platon, lilikuwa ni Jina la kiuandishi , ambalo inasemekana alipewa na Mwalimu Wa masumbwi mmoja kutokana na Mwili wake na kifua chake (Kama mama Samia anavyosemaga "Na kifua Chako")Ooooh! Hujanielewa,plato ni nick name lakini majina yake kamili ni arstocles ariston
A mononymous person is a person who is only known for or famous for only one name.
A mononymous person ni mtu anae julikana kwa jina moja tu. Ifuatayo ni orodha ya watu ambao anajulikana kwa jina moja tu (excluding those who use nick names)
1. Jesus
2. Muhammad
3. Ibrahim (or Abraham?)
4. Tupac
5. Plato
6. Aristotle
7.Samia.
Tupac Amar Shakur, We huyajui?A mononymous person is a person who is only known for or famous for only one name.
A mononymous person ni mtu anae julikana kwa jina moja tu. Ifuatayo ni orodha ya watu ambao anajulikana kwa jina moja tu (excluding those who use nick names)
1. Jesus
2. Muhammad
3. Ibrahim (or Abraham?)
4. Tupac
5. Plato
6. Aristotle
7.Samia.
Nakazia, Achunguzwe.Najaribu kuchambua nn anachowaza mleta mada naishia kusema hazimtoshi
A mononymous person is a person who is only known for or famous for only one name.
A mononymous person ni mtu anae julikana kwa jina moja tu. Ifuatayo ni orodha ya watu ambao anajulikana kwa jina moja tu (excluding those who use nick names)
1. Jesus
2. Muhammad
3. Ibrahim (or Abraham?)
4. Tupac
5. Plato
6. Aristotle
7.Samia.
aiseeMuhammad Swalalaah
😀😀😀 kwakweli jamaa hata mimi naona hivyo.Kuna mambo yanafikirisha. Najaribu kuchambua nn anachowaza mleta mada naishia kusema hazimtoshi
Mungu ni cheo7. Mungu
8. Avicii
9. Madonna
10. Moby
Na Yesu ni nnMungu ni cheo
Yesu ni jina la kawaidaNa Yesu ni nn
Haswaaa.Pele