Ni kweli Mkuu. Sauti hii ilianza taratibu toka Upinzani lkn naona sasa kukolezwa na baadhi ya Wazalendo wa kweli ndani ya Chama Tawala.Ndio maana inahitahika Katiba mpya, Tena ya Serikali tatu.
Haya maswali hayatakuwepo.[emoji1666]
Sure, Naona kuna pambazuka!Ni kweli Mkuu. Sauti hii ilianza taratibu toka Upinzani lkn naona sasa kukolezwa na baadhi ya Wazalendo wa kweli ndani ya Chama Tawala.
Mbona yanaadhimishwa Mapinduzi ya Zanzibar na sio Mapinduzi ya Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar (kama inavyotajwa kwenye Katiba)? Kimsingi Tanzania shughuli yake ni Aprili 26 (Muungano) not otherwise; Desemba 9 ni exclusively for Tanganyika.By logically hii, Tanganyika inabaki kwenye kumbukumbu tu ya uhuru. Ila Tanzania itabaki kama muungano... wa Tanganyika na zanzibari ... by the way mtoto akizaliwa na kupewa jina siyo raisi kumbadili jina baada ya kuanza shule ..
Hivi wazalendo wa kweli CCM ni nyie Sukuma GANG…?! MIJIZI ya trillion zetu, na uzao wa wauaji na watesaji akina Sabaya na BashiteNi kweli Mkuu. Sauti hii ilianza taratibu toka Upinzani lkn naona sasa kukolezwa na baadhi ya Wazalendo wa kweli ndani ya Chama Tawala.
Hapo umemaliza Mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]Mbona yanaadhimishwa Mapinduzi ya Zanzibar na sio Mapinduzi ya Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar (kama inavyotajwa kwenye Katiba)? Kimsingi Tanzania shughuli yake ni Aprili 26 (Muungano) not otherwise; Desemba 9 ni exclusively for Tanganyika...
Nasi tunawatambua wapemba kwa upemba wao! Na wachaga kwa uchaga wao!Kinachosikitisha zadi na hawa Wenzetu wao hujitambulisha kama "Wazanzibari" na sio Watanzania. Na Wana vitambulisho vyao wenyewe vya Mzanzibari.
MaCCM ni maviumbe ya hovyo mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo ya Msukuma umeniacha hoi.
Kina Mzee Pius Msekwa, Joseph Warioba na wengine wenye mitizamo kama yao.Hivi wazalendo wa kweli CCM ni nyie Sukuma GANG…?!