Top Question of the Day

Top Question of the Day

Halaiser

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
4,230
Reaction score
6,653
A MIND- BLOWING QUESTION-:

Which country will be celebrating 60 years of independence on December 9, 2021?

A. Tanganyika?
B. Tanzania Mainland?
C. Tanzania?

A. Tanganyika doesn't exist
B. Tanzania Mainland doesn't make sense as a number of islands, eg Mafia are excluded
C. Tanzania was born in 1964.
 
Ndio maana inahitahika Katiba mpya, Tena ya Serikali tatu.
Haya maswali hayatakuwepo.🤝
 
Ndio maana inahitahika Katiba mpya, Tena ya Serikali tatu.
Haya maswali hayatakuwepo.[emoji1666]
Ni kweli Mkuu. Sauti hii ilianza taratibu toka Upinzani lkn naona sasa kukolezwa na baadhi ya Wazalendo wa kweli ndani ya Chama Tawala.
 
A: Tanganyika ndio nchi yangu.
Hayo majina mengine ni ya utani tu kutoka MaCCM kama kawaida yao.

Magufuli vile na majina aliojipachika Jiwe, kichaa.

Au Samia sasa hivi anavyo jipa majina:
Chifu Hangaya, bi Tozo.

Daudi Bashite, Paul Makonda.

Msukuma , dokta wa kuroga na kuwanga.
 
By logically hii, Tanganyika inabaki kwenye kumbukumbu tu ya uhuru. Ila Tanzania itabaki kama muungano... wa Tanganyika na zanzibari ... by the way mtoto akizaliwa na kupewa jina siyo raisi kumbadili jina baada ya kuanza shule ..
 
Mbona yanaadhimishwa Mapinduzi ya Zanzibar na sio Mapinduzi ya Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar (kama inavyotajwa kwenye Katiba)? Kimsingi Tanzania shughuli yake ni Aprili 26 (Muungano) not otherwise; Desemba 9 ni exclusively for Tanganyika.

Haiingii akilini Tanzania ipate uhuru Desemba 9, 1961 halafu ije kuzaliwa Aprili 26, 1964! Ni zaidi ya kichekesho. Ila kwa sababu siasa za kijima zimetawala fahamu zetu then bora lienda bila kuangalia vitu kwa uhalisia wake!
 
Ni kweli Mkuu. Sauti hii ilianza taratibu toka Upinzani lkn naona sasa kukolezwa na baadhi ya Wazalendo wa kweli ndani ya Chama Tawala.
Hivi wazalendo wa kweli CCM ni nyie Sukuma GANG…?! MIJIZI ya trillion zetu, na uzao wa wauaji na watesaji akina Sabaya na Bashite
 
Jina ulilopewa ulipozaliwa ndilo utakufa nalo japo mbele ya safari utabadili majina.
Kinachosikitisha zadi na hawa Wenzetu wao hujitambulisha kama "Wazanzibari" na sio Watanzania. Na Wana vitambulisho vyao wenyewe vya Mzanzibari.
 
Mbona yanaadhimishwa Mapinduzi ya Zanzibar na sio Mapinduzi ya Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar (kama inavyotajwa kwenye Katiba)? Kimsingi Tanzania shughuli yake ni Aprili 26 (Muungano) not otherwise; Desemba 9 ni exclusively for Tanganyika...
Hapo umemaliza Mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kinachosikitisha zadi na hawa Wenzetu wao hujitambulisha kama "Wazanzibari" na sio Watanzania. Na Wana vitambulisho vyao wenyewe vya Mzanzibari.
Nasi tunawatambua wapemba kwa upemba wao! Na wachaga kwa uchaga wao!
 
Hivi wazalendo wa kweli CCM ni nyie Sukuma GANG…?!
Kina Mzee Pius Msekwa, Joseph Warioba na wengine wenye mitizamo kama yao.

Moto unapoanza kuwaka, kuna nyasi zitapeperushwa na upepo toka maeneo tofauti na kuukoleza moto uwe mkubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom