Top reasons why people marry

Top reasons why people marry

I will marry when I want!!!!!!
I WONDER WHY DO PPLE MARRYING!!!!!!
 
In fact I wonder why do people take a step in,

Many who are in regret their decision, wish if they could think more they would not get in, for those who are out fare dyn to please their partner fo hurry!

Cant imagine either part to live with opposite sex!!!!!

Mungu ametaka wanaume waishi kwa akili na wake zao!!1 is this show wake hawatumii akili? who knows?

In short its hard to spend life with opposite sex under one roof in this world
bila Prayers
 
na pengine amesema wanaume wawapende wake zao, je hii inamaanisha wanaume hawana upendo?
 
sikuwahi kuifikilia hii..inawezekana wanaume hawana upendo mpaka wakumbushwe?
 
Imeandikwa kuwa WANAUME WAWAPENDE WAKE ZAO ILI HALI WANAWAKE WAWAHESHIMU WAUME ZAO
 
Only a fool may stay with a woman, but only a wise will stay with a man.....!
 
Shinikizo kutoka nje. Ama kutokana na Mimba wakati wa ugirlfriend na uboyfriend au umri, au shinikizo la ndugu na wazazi nk. I cant imagine i am a victim.
 
In fact I wonder why do people take a step in,

Many who are in regret their decision, wish if they could think more they would not get in, for those who are out fare dyn to please their partner fo hurry!

Cant imagine either part to live with opposite sex!!!!!

Mungu ametaka wanaume waishi kwa akili na wake zao!!1 is this show wake hawatumii akili? who knows?

In short its hard to spend life with opposite sex under one roof in this world
bila Prayers
lakin kuish jinsia moja under one roof siyo issue?na haiitaj prayer?
its ol abt umemchagua nani uish nae?mnasomana?ata km ni rafik tu wa kawaida kuna mwngne utasema aah mi uyu siwez ish nae..uy muelewa yan kuish nae raha tupu..sasa ikja kwenye mahusiano sjui mandoa yenu hayo ndo apo mwaitajika au twahitajika kuwa waangalifu katika kuchagua wa kuish nae siyo wewe kobe unaenda kumchagua kunguru wa kuish nae apo itakuwa ngumu au wewe mbuzi unamchagua simba wa kuish nae,wew chura eti unamchagua konokono wa kuish nae ..ah sjui unanipata kaka wewe i dnt knw hw 2xplan t bt ndo ivo angalia code na mengneyo meng km mnashare apo mbona saaaana tu one roof one bread forever eveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer sa ujitusu uchague ngoma isiyofiti na wewe..wavaa namba 8 waenda chagua namba 5 lazma mtafutane apo!!!!!!!!!!
 
Shinikizo kutoka nje. Ama kutokana na Mimba wakati wa ugirlfriend na uboyfriend au umri, au shinikizo la ndugu na wazazi nk. I cant imagine i am a victim.

If you don't like how things are, change it! You're not a tree
 
Imeandikwa kuwa WANAUME WAWAPENDE WAKE ZAO ILI HALI WANAWAKE WAWAHESHIMU WAUME ZAO

Yes.......... for us (women) upendo ni inborn so hatutakiwi kukumbushwa kuhusu hilo. kuhusu kuheshimu............... no comment
 
lakin kuish jinsia moja under one roof siyo issue?na haiitaj prayer?
its ol abt umemchagua nani uish nae?mnasomana?ata km ni rafik tu wa kawaida kuna mwngne utasema aah mi uyu siwez ish nae..uy muelewa yan kuish nae raha tupu..sasa ikja kwenye mahusiano sjui mandoa yenu hayo ndo apo mwaitajika au twahitajika kuwa waangalifu katika kuchagua wa kuish nae siyo wewe kobe unaenda kumchagua kunguru wa kuish nae apo itakuwa ngumu au wewe mbuzi unamchagua simba wa kuish nae,wew chura eti unamchagua konokono wa kuish nae ..ah sjui unanipata kaka wewe i dnt knw hw 2xplan t bt ndo ivo angalia code na mengneyo meng km mnashare apo mbona saaaana tu one roof one bread forever eveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer sa ujitusu uchague ngoma isiyofiti na wewe..wavaa namba 8 waenda chagua namba 5 lazma mtafutane apo!!!!!!!!!!

Rose kumbuka unaweza kuchagua namba ambayo unaona kabisa inakufaa lakini linapokuja suala la ndoa ni ishu nyingine my dia kumbuka mnakuwa mnalala pamoja mnaamka pamoja, kwenye uchumba huwezi kujua tabia zote za mtu, hata mimi na wewe na yule nadhani kila mtu ana tabia ambazo hazimridhishi mwingine so ili uweze kuishi na mtu pamoja prayer ni lazima my dia tena ni lazima sana kama kweli unataka kuishi na mwenza wako kwa amani
 
-kuchange status
-kwakuwa imeandikwa kuna kuzaliwa, ndoa na kifo
 
naoa ili nipate wa kulala naye bila chupi usiku
 
Rose kumbuka unaweza kuchagua namba ambayo unaona kabisa inakufaa lakini linapokuja suala la ndoa ni ishu nyingine my dia kumbuka mnakuwa mnalala pamoja mnaamka pamoja, kwenye uchumba huwezi kujua tabia zote za mtu, hata mimi na wewe na yule nadhani kila mtu ana tabia ambazo hazimridhishi mwingine so ili uweze kuishi na mtu pamoja prayer ni lazima my dia tena ni lazima sana kama kweli unataka kuishi na mwenza wako kwa amani
true
ugomv wangu ulikuwa nt only kuish na mwanamke ndo prayer yaitajika
kuish na yeyote yule kwaitaj maomb..watu wameshndwa kuish ata na mamaz ao waliowazaa..busara +neema ya mungu kw amaombi muhimu katika kuleta aman na yeyote unayeish naye aweye yeyote yule
 
Back
Top Bottom