Top Richest People in Tanzania


yaani wewe ndo bure kabisa Yusufu Manji ndo founder wa Quality Group?? Unaota au umelewa wewe... usiwe unakurupuka kuandika vitu mdogo wangu,,,kwa faida yako Quality Group ilikuwa founded na Mehboob Manji babake Yusufu
 
Mbona hawajaonyesha na kiasi cha kodi wanacholipa?
 
Tafsiri ya Richest bado kueleweka manake thread iko Kitanzania zaidi hakuna number kabisa, bongo unaweza ukaambiwa mtu tajiri sababu anamiliki vogue.

Kiyosaki mara zote amuelezea mtu tajiri kutoka na financial inteligency aliyonayo mtu katika kuingiza pesakutokana na investment (Asset) mafisadi, walarushwa, watu wa magumashi, wezi, wauza unga wasiwepo ktk list hii.

Kibongo bongo kupata takwimu ni ngumu ila richest wanaweza kuonekana kutokana na investment walizofanya ndani na nje ya nchi ukiwaondoa wale wa nje waliowekeza bongo.

Kiukweli wamatumbi pamoja na kuwa zaidi ya 40m katika 100 bora hammo achilia mbali 10 bora, mnatumia muda mwingi kupiga politike na kushambuliana wenyewe kwa wenyewe. Wachache waliopata fursa ndio wamekuwa mafisadi, wala rushwa, wezi na watu wa magumashi. Hakuna richest anayetokana na njia hizi zaidi ni kuwabeba wengine wanafanikiwe.

Mie nafunguka na hawa, nyie mtaendelea:


  1. Saidi S. Bakhresa


  • Tanzania Plastic Industries (TPI),
  • Simba Plastics Tanzania
  • DPI Simba Ltd
  • SILAFRICA
  • Shelys Pharmaceuticals (T) Ltd
  • Shelys Africa
  • Beta Healthcare in Kenya
  • Sabuni Detergents Ltd (SDL)
  • S&C Ginning
  • Innovaxis
  • Rubicon Foods plc
  • DPI Simba

3. Kanji, Mac Group

  • Chemi and Cotex Industries LTD
  • Sagera Estates Limited
  • The East Usambara Tea Company (EUTCO)
  • PIL Tanzania
  • Minjingu Mines Ltd
  • Nyanza Salt Mines Ltd
  • Heritage Insurance Company Tanzania Limited,
  • Exim Bank (Tanzania) Limited,
  • Allicance Insurance Limited,
  • Strategis Insurance (Tanzania) Limited
  • Exim Advisory Services Limited

4. Subhash M. Patel

  • MM Integrated Steel Mills Limited
  • Kiboko Pre Coated Sheets Limited
  • PNP Industries Limited
  • Motisun Industries Ltd
  • KIBOKO Paints
  • Sayona Drinks Limited
  • Nyanza Road Works Limited
  • Sayona drinks
  • Hotels

5. Mh. Mohamed Dewji - MO
  • METL
  • Mo Cashew
  • National Bicycle Company
  • AP&P
  • 21st century
  • Afritex
  • Musoma Textiles
  • Glenrich Transportation Ltd
  • Star Oils Ltd
  • Golden Crescent Assurances Company Limited
  • FMCG
  • Mo Gas

Hawa kwa uchache tu na investment zao kuna akina Zacharia, Fidahussein, oilcom, lakeoil na n.k nyie wamatumbi hata katika sub hammo, mko busy na politike tu ukiona bidhaa hawa jamaa wanazozalisha ndio maisha yetu ya kila siku na viduka vya kina mangi na ami ndio wanachuuza uko kwetu uswazi.
 
Kadinali Pengo, tajiri namba moja Tanzania.

Baada ya Serikali ardhi kubwa Tanzania anamiliki yeye kupitia Kanisa Katoliki.
..Polepole naanza kuamini wewe ni Faiza Foxy umerudi kivingine
 
Kadinali Pengo, tajiri namba moja Tanzania.

Baada ya Serikali ardhi kubwa Tanzania anamiliki yeye kupitia Kanisa Katoliki.

mwandiko wako unafanana na wa FaidhaFoxxy...
Vp Mufti naskia anautajiri wa kutisha nae...ana sinia za ubwabwa zaidi ya laki saba.
 
Kuna yule Zakaria nae anauza vyakula vyakula kwa sana ana viwanda hapa ndani 13 sabuni,mafuta etc pia anaagiza hadi cement nje zaidi container 250 kwa mwezi!rejea wafanyabiashara walioitwa kwa JK kusaidia Somalia!



Hawa ndo vibopa
 
wapi Jeet patel?? na yule ,mwanasheria wa arusha aliyekamatwa anatembea na milioni 20 kwenye gari kama pocket money je?
 
Lowassa na Rost Tam Laaziz ndio funga kazi, wengine wanafuatia.
 
Nimpongeze Ngwanakilala kwa kuanzisha mada kama hii + kazi ya kukusanya data (hata kama sio kamili), kwani hatukuwa na kitu kama hiki. So tukiikosoa ni kwa sababu ipo!

Labda kwa sababu za ufisadi na umafia, hii list haijakamilika kama zile za Forbes.
 
Edward lowassa vip mbona hayupo kwenye list,mtu anayumbisha serikali ya tz kwa pesa zake wacha wewe ngoyai anatisha kwa pesa
 
hii list kweli feki,mbona eze wa ma.. ige hayumo?????,mnajua bei ya twiga m1 nyinyi???
 
ahahahaa eze wa maige na bei ya twiga lol
 
English pia ni tatizo,eti "drink industry"..badala ya beverage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…