Top Richest People in Tanzania

Top Richest People in Tanzania

Thread hii ina mapungufu mengi halafu unawakadiria watu kipato cha chini sana unasema manji worth millions of shillings! C'amon huwezi kua among matajiri tz ukawa hujafika billioni kadhaa manji he is about billions of tsh sio millions kama unavyosema
 
Mwanindishi anachanganya popularity na richness! Kwanza ni kitu kugumu sana kujua utajiri haswa wa watu hapa TZ sababu kati ya utaalam wao mkubwa ni kujaribu kuficha as much as possible.
Hio list hapo haina watu kama Sabodo, FM abri au Asas wenye magari tu ya mizigo zaidi ya mia 5 wao tu. Kuna singa singa wa TRH ambaye alisaidia kumtoa kifedha Hans Poppe baada ya kutoka jela. Halafu utajiri unapimwa kwa investments au cash kwenye mabenki? Siku hizi hata forbes wakichapisha list yao ya the richest people wana andika kua hio richness wameidefine vipi!
 
Back
Top Bottom