Top Richest People in Tanzania

Ni vigumu ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko...................mbinguni! au
 
Hii list ni FAKE, mbona Billionea RIZ1 & Family hawamo?
 
How about Rostam Aziz is he not amongst the list?

Labda kaachwa kwababau pesa zake ni za madili tu. Kwa taarifa tu ni kuwa huyu jamaa biashara zake nyingi hajaweka jina lake huko maana nyingi ni za gizani. VodaCom ana share ya 35 % kwa jina la Mirambo ambako hata kodi hawalipi. Ana miliki Caspian na ndo mitambo yake mingi inatumika kuchimba madini yetu huko migodini. Ana kampuni ya uwindaji haramu inayoua tembo wetu na kuchukua pembe zake na kwenda kuziuza nje ya nchi. Kwa kifupi huyu ni haramia na mtu hatari sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Acha aende zake huko Malaysia.
 
Bila kujua kiasi wanachomiliki,habari hii itakuwa ni tetesi tu.
 
Hii sasa ni kufilisika kifikra na kukosa kazi
 
Hivi MAIGE, MASHA, NGEREJA, MKULLO, KINANA, MKAPA, LIYUMBA, MRAMBA, MAHALU, MAHITA, DIALO, MKONO, RIZI MBILI, tunawaweka kundi gani...!!!??? Wezi, Maskini, maisha ya kati au matajiri...???
Na hawa mapapaa wa bongo wakina BILLGATE MZAMILI, PAPA MZOVE, NDAMA MTOTO YA NG'OMBE, CHIEF KIUMBE na kikundi chao wanawekwa wapi,au ndo MATAPELI NA WPIGAJI WA BONGO..??
 
Tarimba Abbas utajiri kautoa wapi na yeye anafanya kazi bahati nasibu ya Taifa? Anafanya biashara gani; pengine anauza madawa ya kulevya? Hana hata kiosk ya soda sasa huo utajiri ameutoa wapi?
 
Kama hujaweka kiasi cha hela mali wanazomiliki (Networth) hii itakuwa ni list ya watu maarufu Tanzania, au wanaosikika kuwa matajiri vijiweni!
Hata mtaani kwetu wapo!
 
Kadinali Pengo, tajiri namba moja Tanzania.

Baada ya Serikali ardhi kubwa Tanzania anamiliki yeye kupitia Kanisa Katoliki.

sijaona mtu mjinga kama wewe unadhani Pengo ndo chanzo cha matatizo ya waislam???
 
Inaonekana mnahesabu wanaowauzia vyakula na vinywaji pamoja na wanaowasafirisha ktk mabasi yao. Wenye migodi ya dhahabu na mashamba makubwa pamoja na mbuga za wanyama pori, yanayozalisha bidhaa zinazouzwa nje na kutuletea watalii, kututajirisha kama nchi mmewasahau.

Sioni ajabu, JF ni watu wa mijini.
 
Wapo watu na utajiri wao na bado sijawaona kwenye list. Ni vyema tukawapata kwa kuangalia michango yao kwa jamii pia kiasi cha kodi wanacholipa kwani kwa kufanya hivyo ndio mtu tunaweza kusema ni tajiri. Yafaa nini mtu kuwa na magorofa mia mbili halipi kodi hasaidii jamii na mbaya zaidi anaiba kile wanacholipa wenzie kwa faida yake na familia yake tu.Huyo kamwe siwezi kumwita tajiri Hivyo basi tuwe na vigezo vizuri vya kuwapanga matajiri
 

Mkuu,thread ina mapungufu kadhaa,mojawapo ni kwamba hujatupa kiasi cha utajiri wa hawa jamaa na vigezo,mfano bakhresa ana utajiri wa sh au dola bilioni ngapi,kingine,source yako iliyokupa mohamed dewji ihaiko reliable,utamwekaje mohamed dewji na kumwacha baba yae,ghulam dewji,MO ni managing director tu hapo kuna mwanzilishi mwenyewe wa hizo business,hebu rudi ufanye utafiti tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…