Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
Mkuu nimekuwa nikiangalia series inaitwa Homeland, na baada ya kusoma hili bandiko lako hapa napata Picha kuwa hawa jamaa wa CIA sio wa kuwachezea hata kidogo.......natamani kujua kama na sisi tuna vitengo vya siri ndani ya TISS au hata jeshini?

Sifongo upo mkuu? nakuja chamber
 
The bold

Kwanza nikupe hongera sana kwa kuandika makala hii ambayo inafundisha mengi sana,makala kama hizi mara nyingi tunazisoma kama makala za kutufurahisha lakini humo kuna shule kubwa sana tena sana....

Umenikumbusha series inayokwenda kwa jina la 24,kwangu mimi hii ni series bora ya wakati wote maana ina mambo mengi sana tena sana ya kujifunza ya kimaisha hasa kubwa sana la kujiamini na kuamini kile unachoamua na kuamua kukitekeleza bila kujali kwamba matokeo yatakuwa ya namna ipi kwakuwa tu umeamua kutenda na unaamini utafanikiwa,makala hii inavitu vingi kama hivi,ahsante sana mkuu....

Pia,nimeona watu wakitamani uwe unaachia makala mfululizo,hili ni jambo zuri sana lakini kwa sisi ambao tunajua pilika za kuandika makala moja tu naona kama hili ni jambo linalohitaji mtu ambaye hana pilika zingine za kimaisha maana ni kazi ngumu sana kukamilisha makala moja maana unajikuta unaunganisha makala na vyanzo vingi sana hadi kukamilisha makala moja...

Kwa wale ambao wanatamani jambo hili nadhani labda wakupe muda mrefu wa kuandaa makala kama 20 hivi na baada ya hapo unakuwa unaachia makala mbili kila wiki na wakati huo ukiwa unaendelea kuandaa makala zingine wakati wakisoma hizi kwa mtiririko huo na hapo nadhani wataanza kupata watakacho,lakini kuandaa makala nyingi kwa wakati mmoja huku ukiendelea na harakati zako za kimaisha ni ngumu sana mkuu.....

Zaidi ya yote nikupe hongera kwa kazi nzuri unayoifanya hapa JF kwa kuwapa watu makala nndefu na nzuri kwa lugha yao mama,barikiwa sana mkuu.....

Pamoja sana mkuu....
 
hicho ndicho wengi tunatamani kujua..Iran alijikomboaje kwenye hili? pia vuguvugu la Iran na Iraq tatizo lilikuwa nini? Iran amewezaje kusurvive dhidi ya sanctions?
 
Mkuu @ Eiyer sijakusoma muda umefichika wapi
Bulaki Womani upoo??

Aisee hata mimi nina siku nyingi sana sijakusoma na leo naona kama nimekutana na malaika aisee...

Naona leo The bold katukutanisha hapa kwenye Intelligensia ambapo kwangu ni kama nyumbani...

Kule MMU siku hizi hakuna cha kujifunza kama kipindi kile,kuna story za watoto tu....

Nimefurahi kukutana na wewe leo hapa...

Tupo pamoja....
 
We ni mchambuzi mzuri nimekukubali ndo maana ni rahisi sana kuwafitinisha waarabu,waafrica wamalizane wenyewe Kwa maslai ya watu wa magharibu,ebu tuchambulie kuhusu dhana ya ugaidi,historia ya ugaidi, ulianza vipi nani wafadhili,na muelekeo wa vita vya Tatu vya dunia, na kwann vikundi vya siri uamini ukitaka waislamu wamalizane waaminishe wanapigania dini( jihad) wakati wenye kujua malengo ya jihad ni viongozi wao kutafuta himaya za dunia.
 
Pia tutadavulie kwann nchi za magharibu uchukua wakimbizi toka nchi za vita mfano Africa, Asia na kwenda kuwa hifadhi na uraia wa nchi zao lengo lao ni nn
 
thnx the BOLD kwa kazi zako za kila siku... big up braza..

ushawahi toa thread yoyote inayohusu chimbuko la makundi ya kigaidi dunian.... km ndio naipata wap.. na kama bado naiomba tafadhar... hongera kwa kazi
Ingia Google andika ugaidi, utamkuta salimu Msangi kauchambua zaidi ugaidi chimbuko na historia yake, pia hata Google kuna link nyingi sana zimechambua kuhusu ugaidi, mimi si muislam zamani kabla sijasoma links hizo zimenibadili sana niliamini uislamu na ugaidi ni kitu kimoja,kumbe si kweli dhana ya ugaidi jihad imeingizwa na vikundi vya siri ili kuuchafua na kuusambaratisha uislam Kwa kutumia waislamu Kwa kuwaamisha wanapigania dini.Makundi yote ya kigaidi kuanzia Isis,al Qaeda,boko haramu,al shabab,nk watu wa magharib wapo nyuma yao,wafuasi wanaaminishwa wanapigania dini kumbe ni kupigania maslai ya kidunia zaidi.Hivo hayo Makundi utumika km mwanasesere wenye remote wapo nje,ukiisoma dunia ni kweli inamilikiwa na familia za watu watano Rockefeller, Rotchild nk wengine tu wasindikizaji ukiwapinga lzm uondolewe madarakani au uuwawe,neno in god we trust ina maana kubwa Sana, Gold, oil na diamond ni mali zao popote vilipo hakuna amani.
 
Mkuu nimekuwa nikiangalia series inaitwa Homeland, na baada ya kusoma hili bandiko lako hapa napata Picha kuwa hawa jamaa wa CIA sio wa kuwachezea hata kidogo.......natamani kujua kama na sisi tuna vitengo vya siri ndani ya TISS au hata jeshini?
Hatuna mkuu..in short hatujafika huko. Wenzetu wako beyond the word advancement itself. Haya mambo yanahitaji hela nyingi, upeo wa hali ya juu ambao sisi hatuna illiteracy ni kubwa bado kwetu.
 
Hatuna mkuu..in short hatujafika huko. Wenzetu wako beyond the word advancement itself. Haya mambo yanahitaji hela nyingi, upeo wa hali ya juu ambao sisi hatuna illiteracy ni kubwa bado kwetu.
Kweli hapo kwenye suala la bajeti ndio kivumbi......inavyoonyesha bajeti yake ni balaa.
 
sifongo

Yes hakika, kuna mambo mengi sana yenye kufumbua macho katika drama ya Homeland.. Inaonyesha ni namna gani ambavyo magaidi nao si watu wa mchezo mchezo..

Lakini zaidi ile drama ina akisi "supremacy" ya CIA katika ulimwengu wa ushushu na intelijensia..

Shukrani sana! Nafirahi kusikia nimefanya safari yako kuwa murua [emoji1]
 
Mkuu Eiyer

Shukrani sana kwa wazo zuri ulilonipa! Yes kama itahitajika kuweka makala mara kwa mara, itabidi kwanza nipotee kwa muda ili kuziandaa za kutosha kisha na nirudi kudondosha moja moja..

Nitaangalia itakavyowezekana na njia ipi itakuwa bora zaidi.!

Shukrani kwa pongezi! Pamoja sana mkuu..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…