Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #521
Sawa Mkuu! Bila shaka nitafanya hivyoIkibidi naomba nami uni-tag mkuu niwe nakusoma mara zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mkuu! Bila shaka nitafanya hivyoIkibidi naomba nami uni-tag mkuu niwe nakusoma mara zote
Nikikumbuka jinsi nilivyotumia "mbinu za D.B Cooper, na theory za Spaggiari pamoja na ujasiri wa Pablo"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanini iwe mimi ndio nimemuopoa?
Tumeopoana mkuu...
Asante sana [emoji120]
#TheBold's#
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nami usinikumbushe nilivyokuwa nazungukazunguka,fichaficha sana [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nikikumbuka jinsi nilivyotumia "mbinu za D.B Cooper, na theory za Spaggiari pamoja na ujasiri wa Pablo"
Nimeulia timing huo moyo mda mrefu sana mpaka kufanikiwa kuuiba na kwenda kuufukia bahari ya Pacific hahahahahah
#TheBold's
Pamoja sana Mkuu! Shukrani..Bold asante Sana kwa elimu hii Kuna kitu nimejifunza your awesome
Sawa Mkuu.! Naona hilo swali kuhusu ugaidi limeulizwa sana.. Nitaweka uzi kuhusu hilo hivi karibuni"Wazee wa fitna ya daraja la kwanza"
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Nimezielewa sana fitna zao, nimejifunza mengi yanayojiri ulimwenguni kwa sasa, kuanzia waasi wa serikali na pia ugaidi kwa mbaali.
Pia ningependa siku uelezee kuhusu ugaidi, napata wakati mgumu kujua maana ya gaidi na ugaidi,
Je ugaid ni dini?
Je ni mauji?
Je ni utaifa?
The bold
Mkuu nami naomba uwe unanitag ili nizipate makala zako kwa upesi zaidi.Bila shaka Mkuu..
Sawa Mkuu! Nitafanya hivyoM
Mkuu nami naomba uwe unanitag ili nizipate makala zako kwa upesi zaidi.
Shukrani sana Mkuu! Kwa hizo hints nina hakika nitakipata..Mkuu The bold kile kitabu nakikumbuka kwa kiswahili lkn kwa kiingereza kimenitoka kidogo ila kwa kiswahili kulikua na maana hii kua kuingia na kutoka Iraq ni Sawa na kuingia jehanamu
Hebu kigoogle uone km utaweza kukipata
Mkuu,
Labda niulize kwa kifupi tu, kwako ni sawasawa mtu mwingine akichukua hili simulizi hapa kama lilivyowekwa na mkuu The bold halafu akalichapisha kwenye gazeti au chombo kingine cha habari!
Kaka ...
Bwana undisputed 'heavyweight' champ...we kazi yako huwa ni kukosoa tu wenzio?
Manake karibu kila sehemu wewe ni kupondaponda tu....unaona ni sifa eh?
Mimi napondaponda? Haya unayasema wewe, of all the poeple?
I mean, uwezo wako wa kupondaponda watu, utu, Utanzania na Tanzania ya vumbi na nguo feki feki hauna mfano. Umejenga personality cult synonymous with the most grotesque of condescension and abuse, kushusha watu na kukejeli. You should be the last person to accuse anybody of kupondaponda.
Criticism is a pillar of artwork, huwezi kuikwepa, mwandishi huyu anajaribu kujijenga kwenye sanaa ya tamthiliya, ajiandae kuchambuliwa. Sio akihojiwa ana lose his marbles na kufurumusha matusi.
Kwenye sanaa kuna mtu anaitwa art critic, unaweza kuchora kikaragosi, mfano wa mtu, art critic atakwambia no, umekosea, pua pandisha juu! Nimekosea nini wakati mimi ndio nimebuni kikatuni na sijasema ni picha halisi ya Magufuli? Art criticism haikwepeki. Na inajumuisha, in fact inaanza na, authenticity ya artwork yako, unadai haki-miliki, well, wewe mwenyewe ulijimilikishaje, umeibuni au umemeza ukatapika?
Na kwa wewe wa Kankekee, Illinois, hivi vitu ni vya kawaida sana huko, you should be the last one to demur at criticism.
Kumbe!
But si nyakati zote wanaweza kuna nyakati wengine tukiweka kituo hakuna wakukatiza....
Mkuu Bu'yakaKama lilivyowekwa hapa na Mkuu The Bold au kama lilivyowekwa kwenye Public Archives na wakuu wa Washington University?
Ni wazi muandishi wetu huyu bado ni mchanga kwenye nyanja ya tamthiliya, lazima atambue kwamba tasnia ina misingi na maadili yake. Kwenye simulizi zisizo na ISBN wala haki-miliki, simulizi za kienyeji, huwezi kudai wenzio wasidurufu. We ya kwako?