dangadunguri
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,276
- 1,309
Acha kabisa, sasa jiulize nchi hii nimara ngapi tumeibiwa rasilimali zetu kizembe sana, sana. Twiga ba mavi yake tumboni anapanda ndege kwenda kuinjoi keki na juice wakati kwa wenzetu hata ugoya wakikukamata nao ni kesi kubwa. Unafikiri vitengo hivyo havijui ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hii ni from experience nini?
Viko bize na miwani nyeusi kumlinda mzee anakamua ndani wao wamewekea biskuit na azam cola wanaburudika kivyaovyao.
Kuna vitengo vingine vyakuwapeleka mabwana wakubwa kwa waganga wa kienyeji, ni msafara mzito usiku kwa usiku hadi vijijini kakonko huko na nyakahura, hagusi mtu na hakuna wakusimamisha, mzee anaenda kupigwa chale za makalio mambo yawe safi. Hivyo vitengo vipo sana na wenyewe wakipita hapa watatafutana wacheke kwa pamoja.
Niishie hapa haya mengine hadi apatikane saanane.