Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
haya wanayoyafanya US na CIA/SAD kwa nchi zetu hiz, me nasema shauri yao ipo cku itafika na wao watafanyiwa/watapinduliwa hivo hivo kama wao wanavopindua wengine, yn naamin kuna binadamu hapa dunian wanabuni mbinu za siri ndani ya siri dhid ya US na washirika wake hao UK
 
Kabisa Mkuu! Hakuna "Ufalme" unaodumu milele..

Ipo siku watatokea wajanja wenzao na kuwazidi akili..
 
Whaaaaat?[emoji87] [emoji134]
Karuka viunzi zaidi ya 600?Dah hamu ya kujua aliwezaje kusurvive inazidi kuongezeka.
Nafikiri aliyenielezea kuhusu missions za CIA dhidi ya mzee kufeli ni 21 alitumia kigezo cha missions kali kati ya hizo 600 na zaidi.

Sure,itabidi achague japo missions 10 kali (akiweza na zaidi) kinagaubaga ilikuwaje kuwaje.
Dah Mzee alikuwa noma sana.
sio 600 kamili tu bali ni 638 haya yote yaligonga mwamba kwa field marshal Castro yn kuanzia anaingia madarakani miaka ya 1957 mpaka miaka ya 2009 hv ni marais wangapi walipita pale whitehouse lkn wote hawa walichemka kwa king of the jungle pamoja na kuwa aliishi puani mwao tu yn km 90 tu kutoka US mpaka Muumba wetu ameamua kumchukua mwenyewe tu, daa pumzika kwa amani Castro, na mashaka wale wahuni walio taka kumtikisa mzee wetu baba wa taifa nahisi hapa kama CIA sijui SAD walihusika lkn wakakuta pia huku mwamba wa afrika hautikisiki pia
 
Mkuu umeongea point za msingi sana..
Ila hiyo Picha uliyoambatanisha mwishoni imenivunja mbavu [emoji23] [emoji23] [emoji23]

"Shah"
yn nkiiona hii picha furaha yng yote inaisha naanza kuwazia wajukuu na vitukuu vyangu, yn mpaka mtu unatamani kuacha wosia kuwa makaburi ya akina Shah yafukuliwe na mafuvu yao yatupwe baharin yaliwe na papa, daa inauma sana yn ukiwazia miaka 100 ijayo
 
Tag me mkuu! If you don't tag me...then i will be at your door with Panga...!

[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Nimeshakuongeza kwenye taglist fastaaa [emoji1] [emoji1]
 
sio 600 kamili tu bali ni 638 haya yote yaligonga mwamba kwa field marshal Castro yn kuanzia anaingia madarakani miaka ya 1957 mpaka miaka ya 2009 hv ni marais wangapi walipita pale whitehouse lkn wote hawa walichemka kwa king of the jungle pamoja na kuwa aliishi puani mwao tu yn km 90 tu kutoka US mpaka Muumba wetu ameamua kumchukua mwenyewe tu, daa pumzika kwa amani Castro, na mashaka wale wahuni walio taka kumtikisa mzee wetu baba wa taifa nahisi hapa kama CIA sijui SAD walihusika lkn wakakuta pia huku mwamba wa afrika hautikisiki pia
Katika miamba ya Africa katika kugombana na hawa jamaa Baba wataifa hajawahi kuwa mwamba, alipoingia mgogoro na hawa kuhusu WB na IMF na masharti yao kibaooo, mzee alidinda alivyoona amekabwa sana akaachia ngazi kiaina (kung'atuka) akiacha nchi imechoka sana, akiwa amebana wananchi wake ilhali hali zao ni mbaya.

Angalau Gaddaf huyu alithubutu kutaka kula sahani moja na majizi ya ulaya na marekani, hakutaka kusikia demokrasia za kijinga sijui kupiga kura wala upinzani ila wananchi wake walikula bata kishenzi, hakuna sehemu katika Africa hii wananchi walikula bata kama Libya.

Majizi yalipotaka kuiba mali za Libya yaliona lazima Gaddaf atoke, afe kabisa. Kwa mchonga hali ilikuwa hivyohivyo walivyotaka kuchukua migodi na mengineyo, M..pa aliwaambia haka kazee bado kana nguvu na ushawishi, kapigeni sindano zakufa mtu alafu nitasema ni kansabya damu, aliondoka butiama ana ugua mafua ghafla kansa ya damu ikamuondoa.

Baada ya hapo mambo bwerereeeeeeeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom