TISS wanacho, polisi wanacho. Hawa hasa vitengo vyao wanachunguza hasa watu wanaopinga chama tawala ccm, wanaleta migomo vyuoni na kwenye vyama vya wafanyakazi, kuwashughulikia mashekhe wa uamsho, kuuwa kila anayedhaniwa ni muislamu mwenye msimami mkali, mwanasiasa mwenye msimamo mkali.
Hatuna vitengo vya fitna zakiuchumi kama hawa miamba ya dunia. Vitengo vyakuwalinda viongizi wakienda nyumba ndogo na mahotelini vipo imara sana, sana, wakikushtukia unagonga nyumba ndogo ya mzee, kucha, meno ni halali yao.