Tetesi: Top secret: Sio Ikulu,Sio Tis wala kikosi maalumu kiliruhusu Risasi zitumike kwa waandamanaji je who authorize..

mambo anasema risasi ilipigwa hewani ikarudi ikamiga acqwelina ..
makada wote akili zao fyoko hata wakiwa askari..
 
Magu is a devil with His main agent Bashite!! How many orders do Bashite Give without the devils consent?
 
Utasikia akupigwa na risasi ila alipigwa na Kitu kizito chenye ncha Kali!!
 
PAMOJA NA ALIYEANZISHA MAANDAMANO BILA KIBALI HIYO DAMU IKO JUU YAKE MILELE HACHOMOKI

We pumbafu usiangalie ulipoangukia Angalia ulipojikwaa

Kwanini taratibu za katiba na sheria zinapindishwa?

Kwanini form hazikutolewa kwa wakati nini sababu, nani...kwanini...

Always look for root cause bwege wewe
 
Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Kilichotokea kinasikitisha sana...

Iwe kwa order au kwa utashi wa askari wenyewe...


Cc: mahondaw
 
Rais Kurusu tu unununzi wa wabunge kama njugu inamaana 1kwa1 yeye ndio aliye ruhusu mauaji yaliyotokea.
Na hilo hawezi kulikwepa.
 
..hebu fafanua "kikosi maalum" ni kitu gani?

..maana vikosi vyote vya ulinzi na usalama vinajulikana, tena kwa majina.

..pia kuna taarifa mpya kwamba waliopigwa risasi siyo Aquilina peke yake, wako majeruhi wengine hospitali.

..hao majeruhi walioko hospitali Polisi wanatakiwa watoe maelezo nani aliwafyatulia risasi.

..Pia zipo taratibu za kutawanya maandamano, ikiwemo kutoa amri ya tahadhari kwa kipaza sauti, waandamanaji watawanyike.

..Je, utaratibu huo ulifuatwa au Polisi waliwashtukiza waandamanaji kwa vipigo na marisasi?
 
Ukitisha tisha watu sana na bunduki ipo siku utafyatua na kuua. Aliyeruhusu risasi zitumike kutawanya maandamano anahusika na kifo cha mpendwa Akwilina.
nimemkumbuka yule mbwiga aliyetimua risasi hewan akipambana na malima aliyeweka mikono mfukoni.
 
Mtaje tu!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…