Tetesi: Top secret: Sio Ikulu,Sio Tis wala kikosi maalumu kiliruhusu Risasi zitumike kwa waandamanaji je who authorize..

Amiri jeshi mkuu ni nani? Baada ya hapo anamlaka ya kutoa amri jeshini au hana?
 
Ninakumbuka miaka ya nyuma mwenyekiti wa parole Ndg Augustine L Mrema alishawahi kusema kwamba "Jeshi la polisi linatumia intelejensia ya ramli kukabiliana na uhalifu".
Kweli mkuu.
Miaka ile kabla Lowasa hajakuhamishia upande wetu.
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndio amiri jeshi mkuu yote yanayofanywa na majeshi ni kwa kutii amri yake. Japo sheria itambana yule aliyefyatua risasi
 
Magonjwa ya akili yanalisumbua sana bars la Afrika.
 
Si Serikali imeshasema ni Bahati Mbaya tena Kunahaja gani ya Kujadili?

Walienda na risasi kwa bahati mbaya? Na Mwangosi naye alipigwa bomu kwa bahati mbaya? Na kule Morogoro waliua mwandamaji kwa bahati mbaya? Igunga je? Arusha je?

Wana historia ya kutumia polisi kuua Watanzania hawa viongozi wa CCM.

It's JPM's watch. He must take responsibility for what happens during his watch. Hawezi kusema hakuwatuma kwani yeye ndiye jemedari wao. The buck stops with him. Kama ni askari waasi basi tuone hatua za uhakika zikichukuliwa dhidi yao. Sio kuwapandisha vyeo kama alivyopandishwa Kamuhanda.
 
Hahahahaha mmeona imewakalia vibaya mnajifanya kuja na theory
Wana theory za ajabu kweli, hawajifunzi kutoka Kenya? mpwa unakumbuka yale maandamano ya watoto wa shule kule Kenya kuhusu ujenzi wa ukuta? kilichojitokeza ni kuwa polisi katika kuzuia wale watoto wasiandamane walitumia fimbo kuwachapa bakora. Lakini jioni ya siku hiyo Kamishna wa polisi (kama Mambosasa) na askari wote waliokuwapo walifukuzwa kazi wote.
Ule ndio uwajibikaji, hakuna mjadala. Na siku nyingine mwingine hafanyi ujinga huo kwani atalaza wanae na njaa naye atageuka kibaka maana utapataje kazi nyingine wakati wewe ni Bashite?
 
Unataka kusema kwamba Rifle section leader ndio alitoa amri ya kufyetua bullet?
 
Tanzania ya leo hakuna kitu kitafanyika bila baraka za sizonje.

Ni nani mwenye ubavu ukitoa bashite wa kujiamulia lolote ndani ya sirikali ya awamu ya 50 bila "ruhusa" ya sizonje?

Sizonje ndie aliyewatuma policfisiem Otherwise angeshamtumbua mambosasa na igp fastaaa kwa jinsi anavyopenda kiki na sifa za key-jinger.
 

1. Kuna ukwlei ulio wazi kuwa walikuwepo pia wasio kuwa asakari ila ndani ya mavazi ya asakari kwenye uchaguzi huu.

2. Ni ngumu sana kumtenganisha huyu mtu na haya matukio, kwani hayajaanza leo na ukifuatilia kauli zake ni kama vile yeye kama yeye anakikundi chake amabcho kinafuta maamuzi yake na kutenda atakavyo yeye nje ya ofisi rasmi.
 

Mkuu usije ukajidanganya au kufanya kosa la kudhani kunapokuwa na maandamano askari na FFU wanakuja wakiwa na risasi za mpira. Siku zote wanakuja na SMG ambazo kwenye magazine kuna risasi za moto! Uliza polisi yeyote atakuambia.

Huo ndio ukweli wa mambo.
 
Je, ni watu wasiojulikana katika nia yao ovu bado kumchafuwa Magufuli na serikali ambalo ndio ilikuwa dhima ya yale maandamano?

Hili kwa mtazamo wangu linanguvu zaidi na ndilo jibu la mkanganyiko uliopo. Wasiojulikana wanajitahidi sana kuchafua image na mwelekeo mwema wa serikali iliyopo madarakani. Swali ni je watu wasiojulikana ni kina nani?!
 
Siyo sijui ila hukujieleza vizuri. Nimekuelewa sasa.
 
Hakuna Jipya! Aliyetoa amri ya kumtawanya mwandishi kule Iringa miaka ilee, alipandishwa cheo! Sijui wa sasa itakuwaje!
 
Jamaa ameanza kwa Mbwembwe.. Kumbe hakuna kitu... Kwanza wewe ni Me au Ke..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…