Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahahaha mmeona imewakalia vibaya mnajifanya kuja na theory
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu.Ninakumbuka miaka ya nyuma mwenyekiti wa parole Ndg Augustine L Mrema alishawahi kusema kwamba "Jeshi la polisi linatumia intelejensia ya ramli kukabiliana na uhalifu".
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndio amiri jeshi mkuu yote yanayofanywa na majeshi ni kwa kutii amri yake. Japo sheria itambana yule aliyefyatua risasiIgweeeeeeeeeee taarifa zakunyapia nyapia zimeniangukia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji. Sio kweli yani big No.
Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri. Ikumbukwe askari hawatumii risasi za moto pasipo kibali ama kuwepo hali yakuleta hatari kwa askari husika. Kila kikosi chakutuliza ghasia kuna mkuu wakile kikosi au wakundi fulani.
Habari zisizo rasmi nikuwa ile risasi ilipigwa na mmoja wa hao walinzi wa amani japo hakuna ushaidi why mpaka sasa alitumia silaha za moto. Maswali wana usalama na viongoz wajuu wanajiuliza ni:-
Je askari alie piga risasi alipatwa na mfadhaiko au msongo wakimawazo baada yakuona kundi linamjia?
Au alikuwa na ajenda ambayo mimi nawewe hatujaijuwa mpaka sasa?
Je kuna mtu nyuma yapazia alikuwa akicontrol kundi fulani la maaskari
Je ni watu wasiojulikana katika nia yao ovu bado kumchafuwa Magufuli na serikali ambalo ndio ilikuwa dhima ya yale maandamano?
Je kunakamchezo kanachezwa kuiteteresha serikali ya Magu...
Je hii ni conspiracy?
Kazi kwenu
Si Serikali imeshasema ni Bahati Mbaya tena Kunahaja gani ya Kujadili?
Wana theory za ajabu kweli, hawajifunzi kutoka Kenya? mpwa unakumbuka yale maandamano ya watoto wa shule kule Kenya kuhusu ujenzi wa ukuta? kilichojitokeza ni kuwa polisi katika kuzuia wale watoto wasiandamane walitumia fimbo kuwachapa bakora. Lakini jioni ya siku hiyo Kamishna wa polisi (kama Mambosasa) na askari wote waliokuwapo walifukuzwa kazi wote.Hahahahaha mmeona imewakalia vibaya mnajifanya kuja na theory
Habari zisizo rasmi nikuwa ile risasi ilipigwa na mmoja wa hao walinzi wa amani japo hakuna ushaidi why mpaka sasa alitumia silaha za moto. Maswali wana usalama na viongoz wajuu wanajiuliza ni:-
Je askari alie piga risasi alipatwa na mfadhaiko au msongo wakimawazo baada yakuona kundi linamjia?
Au alikuwa na ajenda ambayo mimi nawewe hatujaijuwa mpaka sasa?
Je kuna mtu nyuma yapazia alikuwa akicontrol kundi fulani la maaskari
Je ni watu wasiojulikana katika nia yao ovu bado kumchafuwa Magufuli na serikali ambalo ndio ilikuwa dhima ya yale maandamano?
Je kunakamchezo kanachezwa kuiteteresha serikali ya Magu...
Je hii ni conspiracy?
Kazi kwenu
Unataka kusema kwamba Rifle section leader ndio alitoa amri ya kufyetua bullet?
Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri. Ikumbukwe askari hawatumii risasi za moto pasipo kibali ama kuwepo hali yakuleta hatari kwa askari husika. Kila kikosi chakutuliza ghasia kuna mkuu wakile kikosi au wakundi fulani.
Je, ni watu wasiojulikana katika nia yao ovu bado kumchafuwa Magufuli na serikali ambalo ndio ilikuwa dhima ya yale maandamano?
Siyo sijui ila hukujieleza vizuri. Nimekuelewa sasa.Hujui Nilichokimaanisha! Kwa ufupi tu:
1) Nimemaanisha Kuwa Wanatufumba midomo tusijadili hili tukio Kwa kupretex Kuwa ni Bahati Mbaya
2) Kama Amepigwa Kwa Bahati Mbaya! Sasa Yanini Kusema Wameunda Timu Ya Kuchunguza? Sasa Wanachunguza Nini wakati Wameshacomfirm Kuwa ni Bahati Mbaya?