Tetesi: Top secret: Sio Ikulu,Sio Tis wala kikosi maalumu kiliruhusu Risasi zitumike kwa waandamanaji je who authorize..



Hao Kenya Unaowasifia Tuseme Hujui Maaskari Wake Walichowafanya Waandamanaji Wa Kupinga Matokeo ya Uchaguzi uliompa ushindi Uhuru Kenyatta?
 
Hata kabla sijamaliza nlielewa unaelekea wapi mbona ipo ki ushabiki sana haya ingempata mmoja ya viongozi Wa chadema pia ungesema mbowe kahusika asee hii nchii hii mazuzu mengi haya na yule jamaa Wa UDSM walo Sema ni jambazi asiyekua na siraha nini kipo nyuma ya pazia
 
..sitashangaa kama ni mku.ndu bashite...anaweza kufanya hivyo....kama aliweza kuvamia TV akiwa Na hao hao Polisi hawezi kushindwa kuwaamuru kuua RAIA....alafu unayaona yanasali kinafiki.... Haki hawa mbwa wanatia simanzi basi tu...
 


Walisharuhusiwa kufyatua risasi kwa hiyo hizo porojo hazina mashiko tena
 
Na hawa wanaotekwa na kuuawa kila siku,toka lisu,azory,Roma,na hivi juzi katibu wa chadema hananasifu nani huwa anatoa ruhusa watendewe hivyo?
 
Na amini kabisa Mbowe hausiki juu ya kifo hicho kwa namna yoyote ile. Ila mwisho wa haya u kariibu
 


Polisi CCM inajulikana yameanza zamani haya ,

JIKUMBUSHE HAPA

 
PAMOJA NA ALIYEANZISHA MAANDAMANO BILA KIBALI HIYO DAMU IKO JUU YAKE MILELE HACHOMOKI

Yaaani tungelikuwa na watu ka wewe wanne tu tz tungelikuwa werevu sana. Huenda pia kuna watu wanakutegemea mahali flan panapoitwa nyumbani. Pumbawavu sana. Yeye ndio kawapa hao walinzi wenu hizo za moto?? Kuna siku mtajikuta ICC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…