Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Wana theory za ajabu kweli, hawajifunzi kutoka Kenya? mpwa unakumbuka yale maandamano ya watoto wa shule kule Kenya kuhusu ujenzi wa ukuta? kilichojitokeza ni kuwa polisi katika kuzuia wale watoto wasiandamane walitumia fimbo kuwachapa bakora. Lakini jioni ya siku hiyo Kamishna wa polisi (kama Mambosasa) na askari wote waliokuwapo walifukuzwa kazi wote.
Ule ndio uwajibikaji, hakuna mjadala. Na siku nyingine mwingine hafanyi ujinga huo kwani atalaza wanae na njaa naye atageuka kibaka maana utapataje kazi nyingine wakati wewe ni Bashite?
Hao Kenya Unaowasifia Tuseme Hujui Maaskari Wake Walichowafanya Waandamanaji Wa Kupinga Matokeo ya Uchaguzi uliompa ushindi Uhuru Kenyatta?