Top ten Bongo male celebrities (wasanii)

Top ten Bongo male celebrities (wasanii)

Kwenye hao top 5, harmonize ndo katrend sana
1700654166542.png
 
Rayvanny bora angebaki Wasafi sioni kama anatoa nyimbo Kali sikuhizi.

Harmonize ametisha sana mwaka huu Ngoma kama "Single again" na "Sijalewa" ni Kali vibaya mno.

Nadhani "Single again" ingekuwa ya mnaigeria basiii ingeingia kwenye chati za Billboard na kuombwa kolabo juu.
ana safari ndefu sana alikuwa anamchukulia jeshi ni mtu poa sana wacha apitie maisha nje ya wcb tumuone . Raha nzuri tutampima kwa kuwa hana vuguvugu la ugomvi alipotoka tofauti na mwenzake alivyoondoka asipopanda tutajua hamna kitu.
 
Alikiba huyu huyu aliyeimba seduce me.. na sijui Upwiru unakaba koo? Mabinti wenye vifundo ndio wananitoa roho?

Then mnasema anaimba kwa maadili?

Kweli Mitanzania minafki sana
Hayo ni maneno ya kimapenzi ya kawaida. Katumia tafsida yenye maadili kiasi, hata videos zake unaangalia bila kufunika macho kuliko yule mshkaji wenu mondi
 
Hayo ni maneno ya kimapenzi ya kawaida. Katumia tafsida yenye maadili kiasi, hata videos zake unaangalia bila kufunika macho kuliko yule mshkaji wenu mondi
Mwanao anaimba "Natamani kuwa singo ila UPWIRU unakaba koo.. MABINTI wenye vifundo ndio wananitoa"

Then anamalizia..

"Mie mbovu sana wa jambo lile nina ufundi wa kutoshaaa..."

Anaimba hiyo mtt wako utamchekea?

Je ukimkuta anasema "We Zombie..." utamchukia?
 
Back
Top Bottom