Top ten Countries without access to toilets. Kenya haiko. Tanzania iko top 10

Top ten Countries without access to toilets. Kenya haiko. Tanzania iko top 10

And the statistics dont lie.....This African statistics is quite damning!

512x812

Tanzania and Ghana shouldnt be in that list for sure!
 
Wakuu someni vizuri maana ya ripoti, data imekazia vyoo vya "kisasa" na siyo ukosefu wa vyoo kufuatana na NGO ya WaterAid.
 
Russia is not half the size of africa, leta km2 zake leta ya africa, na unapaswa ujue image ya africa is distorted kwenye atlas, its huge, observe the distance btn 2 latitude around equator and dist btn 2 latitudes around north poles where russia is.
Why do i even bother with these people watu wajinga kupindukia ukimpa facts anaanza kukupea facts zake toka kwa kichwa

Russia is
17,000,000km2
Africa is
30,000,000km2

Russia URUSI
1493918558972.png
1493918566647.png

AFRICA /AFRIKA
1493918572288.png
 
Hawa nao wamezidi sasa!!! Tz hatuna toilets kwani?
 
Sijui ni criteriaa gani imetumika lakini nimetembea vijijini saana nchi nzima hakuna kaya isyo na cho. Kama issue ni kwuality ya choo naweza kukubali
 
Mnapenda kusema ya wengine wakati ya kwenu yananuka hivyo hivyo. Kenya 70% hawana choo, na hapa tunaongelewa vyoo vya kisasa (flashing toilet). Huwezu kuwa na population kubwa na kuwe hakuna choo kabisa maana hakuna anayeweza kuzuwia magonjwa. Lakini wakenya mnafanya agenda wakati kwenu flashing toilet hakuna, maji Nairobi hakuna kabisaaaa. Sasa kinacho wachekesha ni nini. Muwe mnaweka source mkiweka taarifa kama hizi, kuliko vipicha isiyo julikana imetoka wapi.

Haya tujikumbushe na Kenya mambo yakoje.....

Company Brings Toilets To Kenya Slums, Turns Waste Into Fertilizer | HuffPost
 
Tuseme wewe unaokota tu figures na kuruka nazo??
 
Tuseme wewe unaokota tu figures na kuruka nazo??
Sasa unataka kukataa hiyo habari?? Hilo ni gazeti la online linaloheshimika sana na tena wanatumia secured web address "https" kama unawabishia waandikie uwaulize uhakika wa hiyo habari tena wameweka na link ya UN. Checkmate [emoji23]
 
I am Kenyan but habari hii nikama kujifunga goli (own goal)...pia sisi tuna shida nyingi sana kwa sector hii ya sanitation Kibera sio jambo la kujivunia..ukweli usemwe tu...tutakapomaliza shida hizi ndipo tunafaa kuja kujivunia...kwa sasa nikama tu mbilikimo wawili wanapimana urefu na kuchekana..No pun intended..just being real
How many Kenyans live in Kibera? 55% of Kenyans live in villages where they have good pit latrines. Majority of the 45% that live in cities and towns have good toilets. I can say the percentage of Kenyans who lack good sanitation and access to toilets is about 20%.
 
Back
Top Bottom