Odegaard hafiki hata nusu ya Partey.Ordegaard na Partey unaacha yupi
Partey ni kama Saka, wote hawana mbadala ili wapewe rotation na kupata quality inayofanana na hao lazima utoe pesa ndefu.Arteta mbona alitaka kutoa 70 milioni Kwa Caisedo? Partey hatoshi
Weka tuone.List nyingine za kijinga sana unafatiliaga mpira au we ni wale watu wa magazeti na taarfa za usajili kwa sababu list yako imebeba majina ya watu ambao wanaongoza kutajwa tu kwenye media inaonyesha hufatilii mpira.
Siwez toa List yangu kwenye ushuzi wa namna hii.
Daa, watu wanaojua mpira wanazidi kuisha kila kukicha. Miaka 18 iliyopita hakuna mtu angewawaza hawa watu. Ungeanzaje wakati Kuna hawa miamba.Kwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..
1. Debruyne
2.Caisedo
3. Tchoumeni..
4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....
Weka yako tuone
Joshua Kimmich anacheza golfKwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..
1. Debruyne
2.Caisedo
3. Tchoumeni..
4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....
Weka yako tuone
Kila nabii na zama zake..Daa, watu wanaojua mpira wanazidi kuisha kila kukicha. Miaka 18 iliyopita hakuna mtu angewawaza hawa watu. Ungeanzaje wakati Kuna hawa miamba.
Vieira, Roy Kean, Claude makele, Michael Ballack, Gerrard, scoles, beckam, Denis Beckamp, Rui Costa, Pirlo, Genaro Gatuso, Nedved, Zidane. Gaucho, Lampard, Kaka, Edgar Davis, Seedolf, Jay Jay Okocha, Luis Figo.
Unabaki unajiuliza hawa wachezaji walikuwa wanatoka wapi. Leo kila mtu mwenye miguu miwili anaweza cheza football eti
Joshua kimmichKwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..
1. Debruyne
2.Caisedo
3. Tchoumeni..
4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....
Weka yako tuone
Dunga, graudiola, rosiscky, ole guna sosha beckamDaa, watu wanaojua mpira wanazidi kuisha kila kukicha. Miaka 18 iliyopita hakuna mtu angewawaza hawa watu. Ungeanzaje wakati Kuna hawa miamba.
Vieira, Roy Kean, Claude makele, Michael Ballack, Gerrard, scoles, beckam, Denis Beckamp, Rui Costa, Pirlo, Genaro Gatuso, Nedved, Zidane. Gaucho, Lampard, Kaka, Edgar Davis, Seedolf, Jay Jay Okocha, Luis Figo.
Unabaki unajiuliza hawa wachezaji walikuwa wanatoka wapi. Leo kila mtu mwenye miguu miwili anaweza cheza football eti
Ngoja nieditWatatu Tu ...malizia list