E EL MAGNIFICAL JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 938 Reaction score 125 Jan 13, 2011 #1 nimesikia ktk Afrika mashaki wasanii wenye pesa wanapatikana uganda ! Tz ni mke wa mtunza bustani 2 ! ajuae anijuze
nimesikia ktk Afrika mashaki wasanii wenye pesa wanapatikana uganda ! Tz ni mke wa mtunza bustani 2 ! ajuae anijuze
Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,252 Jan 13, 2011 #2 Mkuu hivi hata kuandika kwa Kiswhili nako shida? hebu angalia tena heading yako tafadhali...
K kinubi Senior Member Joined Nov 19, 2010 Posts 132 Reaction score 72 Jan 13, 2011 #3 tutajieni majina wakuu
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,264 Reaction score 2,676 Jan 13, 2011 #4 acheni basi haya mambo ya kupost thread ambazo haziendani na yaliyomo. Nakushauri kabadili tittle yako mkuu.
acheni basi haya mambo ya kupost thread ambazo haziendani na yaliyomo. Nakushauri kabadili tittle yako mkuu.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Jan 13, 2011 #5 Mateja au Matajiri? Hebu fafanua kama mateja BANZA,CHOKORAA,CHAZBABA
U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 627 Jan 15, 2011 #7 mi natoka, siwaelewi mnaongea nini
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Jan 15, 2011 #8 sorry mleta mada... JF sio kijiwe cha kahawa, kama unaleta thread basi hakikisha umeisoma na kuipa hadhi inayoendana na forum, kama ni udaku kuna blogu ya mange iko poa ingependeza kama ungeweka hiyo orodha, na kuijadili... low
sorry mleta mada... JF sio kijiwe cha kahawa, kama unaleta thread basi hakikisha umeisoma na kuipa hadhi inayoendana na forum, kama ni udaku kuna blogu ya mange iko poa ingependeza kama ungeweka hiyo orodha, na kuijadili... low
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Jan 19, 2011 #10 EL MAGNIFICAL said: nimesikia ktk Afrika mashaki wasanii wenye pesa wanapatikana uganda ! Tz ni mke wa mtunza bustani 2 ! ajuae anijuze Click to expand... Una lidhalilisha JINA la El Magnifical kwa thread isiyo mashiko kama hii
EL MAGNIFICAL said: nimesikia ktk Afrika mashaki wasanii wenye pesa wanapatikana uganda ! Tz ni mke wa mtunza bustani 2 ! ajuae anijuze Click to expand... Una lidhalilisha JINA la El Magnifical kwa thread isiyo mashiko kama hii
N Ndevu mbili JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 379 Reaction score 41 Jan 20, 2011 #12 Joseph Chamileon wa Ug.
E emanuel wa heri Member Joined Mar 12, 2014 Posts 6 Reaction score 2 Mar 17, 2014 #13 wa kwanza lazima ni jose chamilione
ROBERT MICHAEL JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 5,054 Reaction score 2,858 Mar 17, 2014 #14 lijina likubwa ,lijitu likubwa ila anachoandika mikamasi. Paka shume mkubwa ww.