Top ten ya wanamuziki matajili east africa

Top ten ya wanamuziki matajili east africa

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
938
Reaction score
125
nimesikia ktk Afrika mashaki wasanii wenye pesa wanapatikana uganda !
Tz ni mke wa mtunza bustani 2 !
ajuae anijuze
 
Mkuu hivi hata kuandika kwa Kiswhili nako shida? hebu angalia tena heading yako tafadhali...
 
acheni basi haya mambo ya kupost thread ambazo haziendani na yaliyomo. Nakushauri kabadili tittle yako mkuu.
 
sorry mleta mada... JF sio kijiwe cha kahawa, kama unaleta thread basi hakikisha umeisoma na kuipa hadhi inayoendana na forum, kama ni udaku kuna blogu ya mange iko poa

ingependeza kama ungeweka hiyo orodha, na kuijadili...

low
 
lijina likubwa ,lijitu likubwa ila anachoandika mikamasi. Paka shume mkubwa ww.
 
Back
Top Bottom