Ndo mvuto wenyewe!! Watu tunashangilia mpaka tunadhimia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyimbo zao tunazipenda tu ila mvuto wao ndo unaotuvutia, mfano Ney anatusakamaga kina dada kwenye nyimbo zake ila tumo tuAisee kwa hiyo mnapendaga miili yao na si show zao wanazo perform , duuh hatari
mbona juma nature kimbau mbau lakin mnamshangiliagaNdo mvuto wenyewe!! Watu tunashangilia mpaka tunadhimia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyimbo zao tunazipenda tu ila mvuto wao ndo unaotuvutia, mfano Ney anatusakamaga kina dada kwenye nyimbo zake ila tumo tu
Kuna kushangilia na mvuto jifunze kutofautisha hayo maneno! Wewe ulitumia neno kushangilia au mvuto? Na kama hoja ni kushangilia mbona si wanawake tumbona juma nature kimbau mbau lakin mnamshangiliaga
Na wewe uliye coment kwangu ni mdada au sijaelewa vizuri?Mkuu kwani we ni mdada?
Au sijaelewa topic?
Na wewe uliye coment kwangu ni mdada au sijaelewa vizuri?
Huwa sipanic mana hata alieleta uzi siyo mdada mana kwenye huu uzi ni jokes ambao wapo serious ni wachacheHa ha ha, umepanic?
Hahaha umemalizaAlafu watu mna kufuru! Kwa mvuto gani walionao Yamoto band? Au Barnabas mbavu mbwiii kama kundu la nyani Si Bora hata Harmonize ana Romantic body kiasi kuliko hao!!! Mmeangalia baby face au mvuto? Maana kama ni mvuto wa mahaba hata Benpol nae hana hatuvutii, ni akheri aliyetuwekea Kamikaze hapo kaongeza radha yaani simuelewi mtoa Thread Umezungumzia Mvuto au Baby face bora ya hata Ney ana mvuto hakika
Huwa sipanic mana hata alieleta uzi siyo mdada mana kwenye huu uzi ni jokes ambao wapo serious ni wachache
Yes namba moja ana mvuto japo si mzuri, 😀😀😀 watu wanachanganya mvuto na mzuri, unaweza ukawa mzuri lakini usiwe na mvuto, na unaweza ukawa na mvuto lakini usiwe mzuri
Umemaliza sina cha kuongeza huo ndo mvuto umemaanishwa! Na sio kama huyu mtoa thread anavyokwepeshaDiamond sio mzuri wa sura ila kwa jinsi anavyoweka sura yake anaonekana n mzur tena bonge la handsome maana ana mdomo mkubwa ila anajua jinsi ya kuuweka uwe sex ,apart from that ana sex eyes hilo liko wazi kabisa bila ubishi !body yake ndio matata tena sana tu sex body!!kila kitu kwake kiko sex
Sexiest man !!!
Hahahhha uzur na mvuto vitu viwil tofautiUmemaliza sina cha kuongeza huo ndo mvuto umemaanishwa! Na sio kama huyu mtoa thread anavyokwepesha
Umebarikiwa mama hongera [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] naona uko kundi La kamikaze na kibaHahahhha uzur na mvuto vitu viwil tofauti
mm nina vyote shost [emoji28][emoji28][emoji28]lol
Hasa kwenye ule wimbo Wa bado kijisehemu anachooga anavyojipapasa hakika unaimagine mkiwa shughulini acha wema na zari wapagaweDiamond sio mzuri wa sura ila kwa jinsi anavyoweka sura yake anaonekana n mzur tena bonge la handsome maana ana mdomo mkubwa ila anajua jinsi ya kuuweka uwe sex ,apart from that ana sex eyes hilo liko wazi kabisa bila ubishi !body yake ndio matata tena sana tu sex body!!kila kitu kwake kiko sex
Sexiest man !!!
Hahahahaahahahaa tena wema hakumfaidi sanaaa enzi zile alikua na ki bodyHasa kwenye ule wimbo Wa bado kijisehemu anachooga anavyojipapasa hakika unaimagine mkiwa shughulini acha wema na zari wapagawe
Huhuhu sitaki kuimagine maana nafwaa mie nikifikiria pia inaonekana anazama chumvini[emoji4] [emoji4]Hahahahaahahahaa tena wema hakumfaidi sanaaa enzi zile alikua na ki body
Jamani sas hiv ana body sipatii picha "his male part appearance" [emoji28][emoji28][emoji28]itakua anaibebesha chuma hahaha !na yenyewe lazim itakua sex[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahaa mama T anamfaidi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huhuhu sitaki kuimagine maana nafwaa mie nikifikiria pia inaonekana anazama chumvini[emoji4] [emoji4]
Hahahahnaye pia anaimba au??