Top ten ya wasanii wa kiume wanao wavutia zaidi wana wake wawapo jukwaani

Top ten ya wasanii wa kiume wanao wavutia zaidi wana wake wawapo jukwaani

Diamond sio mzuri wa sura ila kwa jinsi anavyoweka sura yake anaonekana n mzur tena bonge la handsome maana ana mdomo mkubwa ila anajua jinsi ya kuuweka uwe sex ,apart from that ana sex eyes hilo liko wazi kabisa bila ubishi !body yake ndio matata tena sana tu sex body!!kila kitu kwake kiko sex
Sexiest man !!!
Mm binafsi diamond hanivutii kwakweli
 
Hahahahaahahahaa tena wema hakumfaidi sanaaa enzi zile alikua na ki body
Jamani sas hiv ana body sipatii picha "his male part appearance" [emoji28][emoji28][emoji28]itakua anaibebesha chuma hahaha !na yenyewe lazim itakua sex[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Peter Msechu na Lemutuz wadada apagawa sana wakiwaona...Hao ndio wasanii wenye mvuto wengine tupa kuleeee
 
1😀iamond platnumz AKA simba

View attachment 393561


2:Ali kiba

View attachment 393562

3:Christian Bella AKA king of the best melody
View attachment 393563


4:Yamoto Band


View attachment 393564

5:Ommy Dimpoz

View attachment 393565



6:Blue Byser


View attachment 393566


7:Barnaba


View attachment 393567


8:Bob Junior


View attachment 393569


9:JUX


View attachment 393571

10:Ben Paul


View attachment 393572
Nakusapot mkuu sijawahi fika kwenye show ya mtu hata mmoja ila kupitia mitandao nimeona hilo ni kweli wala sijakataa
 
Yes namba moja ana mvuto japo si mzuri, 😀😀😀 watu wanachanganya mvuto na mzuri, unaweza ukawa mzuri lakini usiwe na mvuto, na unaweza ukawa na mvuto lakini usiwe mzuri
Kivipi?fafanua.
 
Back
Top Bottom