Top ten ya wasanii wa kiume wanao wavutia zaidi wana wake wawapo jukwaani

Mm binafsi diamond hanivutii kwakweli
 
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Peter Msechu na Lemutuz wadada apagawa sana wakiwaona...Hao ndio wasanii wenye mvuto wengine tupa kuleeee
 
Nakusapot mkuu sijawahi fika kwenye show ya mtu hata mmoja ila kupitia mitandao nimeona hilo ni kweli wala sijakataa
 

Mkuu we ni ke au me?

Ukiwa me lazima utakuwa wa dar
 
Yes namba moja ana mvuto japo si mzuri, πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ watu wanachanganya mvuto na mzuri, unaweza ukawa mzuri lakini usiwe na mvuto, na unaweza ukawa na mvuto lakini usiwe mzuri
Kivipi?fafanua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…