Top Three yako ni Ipi ? Yangu ni hii

Hapo kwa zambia nadhani umeleta mapenzi binafsi, fundi tripple c, hana nafasi katika hiyo listi.

Triple C nimeshuhudia live akiwanyoosha makwasukwasu live taifa. Kumbuka hii list ni ya mapenzi yangu binafsi tu. So hata wewe unaweza tuambia wakwako.
 
Czech republic kuna mtu alikuwa anacheza Juventus Turin anavaa namba 11

mshindi wa balon d'or 2003 alitakiwa awe wa kwanza hapo

Pavel Nedved anawapiga goli Madrid halafu analia nusu fainal uefa
Mguu wake wa kushoto una nguvu kama wa kulia mpaka anastaafu hajulikani anatumia mguu gani
 
Hapo Tanzania naona unawakosea adabu wenye nchi yao, Athuman Idd na Ngassa???
my list hapo
(1) Mbwana Ally Samatta
(2) Simon Msuva
(3) mexime(kocha wa kagera)

Kumbuka Ngassa ndo all time top scorer wa Tanzania. Halafu pia nikisema Ngassa namaanisha Yule ngassa wa kipindi akiwa kwenye form akaenda hadi westham kufanya majaribio sio huyu Ngassa wa saiv.
Athumani Iddi alikua bonge moja ya kiungo Alexandre Song anaweza kukumbuka jinsi gani alikishika kiungo tukicheza na cameroon
 
Toa deco weka rui costa

Sikatai Rui Costa kua mzuri na pengine naweza kukubishia kwamba Deco alikua bora sana. Kipindi fc porto inatesa ulaya (europa na uefa champions) yeye ndo alikua kiungo bora zaidi.
Barcelona bora ya kina Etoo ya Gaucho alikua akiibeba yy na Xavi.
Rui costa was good ila Deco was underrated.
 
Morroco mtoe chamack muweke ZYECH
 
Mchezaji aina ya Santiago carzola
 
Toa griezman weka ribery

Ribery is Good ila Griezman ameprove mengi mazuri kuliko Ribery in a short time.
Pengine nikushauri upate muda umuangalie Grizii tokea alivyoanza mpaka sasa utagundua ni bora sana kuliko mbappe na Ribery.
Griezman amecheza Real Sociedad na Atletico ila still ameweza kungaa sana kuliko Ribery aliyecheza Bayern iliyojaza mafundi wa kila aina.
"Barcelona have Messi, Real madrid have Ronaldo and Athletic madrid have Griezman" hayo yalikua maneno ya kocha Diego simeone akijaribu kuueleza ulimwengu kwamba Griezman ni level za juu sana the best after Messi and Ronaldo
 

Pavel Nedved. Wa czech wenyewe wanasema ndo mchezaji bora kuwahi kutokea kwao. Ila haya ni maoni yangu binafsi tu.
Nilimfrahia zaidi Petr Cech kipindi cha Euro 2004 na alivyoenda Chelsea amejituma sana na kua kati ya makipa bora kuwahi kucheza Epl.
Rosicky alikua fundi sana ila tatizo ni majeraha yalimsumbua.
Milan Baros aliibeba Czech kwenye euro akitupia goli za kutosha pengine timu aliwez kuibeba timu yao ya taifa kuliko Nedved aliyekua akingaa zaidi pale Juventus.
 

Ni dhambi kubwa sana kwa mungu wa mpira hilo jina kuwekwa pembeni.

Kwa walioangalia UEFA ya 2003 anaitoa Barca ya Figo, then anaitoa Madrid ya Ronaldo de Lima wanaweza kukurushia mawe mpaka uzimie.
 
Morroco mtoe chamack muweke ZYECH

Nilimpenda chamakh kama Wenger na mashabiki wa Arsenal walivyotutambia kipindi
wamemsajili. Ila sijui alipatwa na Nn huyu mtu yaani alikuja kua flop wa hali ya juu.
Anyway still naheshimu kipaji chake maana alipokua ufaransa aliprove he was good na pia kwenye kupiga vichwa alikua hakukosi.
 
Nilitaka kuliongezea hili jina, nakumbuka Dr Leakey alituambia kwamba nchi nzima ni yeye Rais walikuwa wanaruhusiwa kuendesha aina fulani ya gari.

Ni kweli Haghi alikua mzuri. Ila Adrian Mutu ndo the best skilled and talented Romanian player ila tatizo alikua hana discpline nad kashfa za madawa ya kulevya. Ukipata nafasi ingia youtube umcheki Mutu alivyokua mashuti mazito. Alisajiliwa na Chelsea kwa dau kubwa sana ila baadae akaja fungiwa na ndipo akatimkia Juventus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…