Top Three yako ni Ipi ? Yangu ni hii

Top Three yako ni Ipi ? Yangu ni hii

Hapo kwa zambia nadhani umeleta mapenzi binafsi, fundi tripple c, hana nafasi katika hiyo listi.

Triple C nimeshuhudia live akiwanyoosha makwasukwasu live taifa. Kumbuka hii list ni ya mapenzi yangu binafsi tu. So hata wewe unaweza tuambia wakwako.
 
Czech republic kuna mtu alikuwa anacheza Juventus Turin anavaa namba 11

mshindi wa balon d'or 2003 alitakiwa awe wa kwanza hapo

Pavel Nedved anawapiga goli Madrid halafu analia nusu fainal uefa
Mguu wake wa kushoto una nguvu kama wa kulia mpaka anastaafu hajulikani anatumia mguu gani
 
Hapo Tanzania naona unawakosea adabu wenye nchi yao, Athuman Idd na Ngassa???
my list hapo
(1) Mbwana Ally Samatta
(2) Simon Msuva
(3) mexime(kocha wa kagera)

Kumbuka Ngassa ndo all time top scorer wa Tanzania. Halafu pia nikisema Ngassa namaanisha Yule ngassa wa kipindi akiwa kwenye form akaenda hadi westham kufanya majaribio sio huyu Ngassa wa saiv.
Athumani Iddi alikua bonge moja ya kiungo Alexandre Song anaweza kukumbuka jinsi gani alikishika kiungo tukicheza na cameroon
 
Toa deco weka rui costa

Sikatai Rui Costa kua mzuri na pengine naweza kukubishia kwamba Deco alikua bora sana. Kipindi fc porto inatesa ulaya (europa na uefa champions) yeye ndo alikua kiungo bora zaidi.
Barcelona bora ya kina Etoo ya Gaucho alikua akiibeba yy na Xavi.
Rui costa was good ila Deco was underrated.
 
katika ushabiki wangu wa muda mrefu wa mpira wa soka kuanzia mwaka 1995 (nilianza kushabikia mpira) nimefanikiwa kuona wachezaji wa aina nyingi kutoka mataifa mbalimbali wengi wao wakiwa na vipaji vya hali ya juu sana.
Nimejaribu kufanya uhakiki wa kila taifa na kuweza kupitia baadhi ya record za wachezaji na pengine wengine nimewashuhudia wakicheza.
Wafuatao ndo wachezaji (proffesional footballers) bora kuwahi kutokea tokea nianze kuupenda na kuufatilia mchezo wa mpira mwaka 1996

AUSTRALIA
1. Tim Cahil (played for Everton mostly and Australian top scorer)
2. Harry Kewell ( talented player notably signed by Liverpool played as a wing. Sir Alex Ferguson said he was one of the best players he regret not to sign from the famous Leeds united golden squad)
3.Mark Viduka ( a beast and talented goal poacher played in the premier league and also one of Leeds united golden squad)

IRAN
1. Ali Daei (top scorer of all time wa international appearances nilifanikiwa kuona baadhi ya games za world cup pale Japan na Akiwa Bayern Munich mwaka 1999 he was a true goal getter)
2. Ali Karimi ( played for Bayern Munich and Schakle 04 notably known as Maradona of Asia)

JAPAN
1. Shunsuke Nakamura (freekick master mind played for Celtic and Espanyol was also nominated for balon d 'or 2007 the best japanese player ever)
2. Keisuke Honda ( one of the best players in Japan natural gifted midfielder notably played for Cska Moscow and Ac milan)
3. Shinji Kagawa ( Sir Alex Ferguson thought this was another Park Ji sung. Notably known for his passing skills and work rate)

SOUTH KOREA
1. Park Ji Sung ( kama kuna mtu aliwahi kuona Game ya Psv Eindhoven na Ac milan angeona ni jinsi Gani huyu mkorea alimtesa Gatituso jamaa alikua hachoki aliwakimbiza Ac milan vibaya mno [emoji1787][emoji1787]. Notably the best Asian player of all Times played for Manchester united and Psv Eindhoven)
2. Son Heuing Min ( currently Asian player of the year playing for Tottenham Hotspurs very talented player)
3. Lee Young Pyo ( a very good defender played for top sides PSV, Spurs and Borrusia Dortmund)

ALGERIA
1. Riyad Mahrez
2. Yousef Brahimi
3. Islam Slimani

ANGOLA
1. Flavio ( goal Poacher wa hatari sana huyu took Angola to thier first world cup. Kwangu mimi ni moja kati ya washambuliaji wakali sana kuwahi kutokea bara la Africa)
2. Akwa ( notably played for Benfica also scored the goal that took angola to thier first worldcup.
3. Manucho ( was signed by Ferguson but ended up as a flop still regarded as one of the best strikers in Africa)

CAMEROON
1. Samuel Eto'o
2. Rigobert Song
3. Geremi Njitap ( notably played for top Teams Real Madrid, Chelsea and Newcastle)

CONGO DRC
1. Tresor Mputu
2.Shaban Nonda
3.Dieumerci Mbokani

IVORY COAST
1. Didier Drogba
2. Yaya Toure
3. Salomon Kalou

EGYPT
1. Mohamed Salah
2. Mohamed Aboutrika
3.Mido

MORROCO
1.Mustapha Hadji
2. Mehdi Benatia
3. Marouane Chamakh

NIGERIA.
1. Jay Jay Okocha
2. Nwankwo Kanu
3.Obafemi Martins

GABON
1. Pierre Emerick Aubameyang
2. Daniel Cousin

GHANA
1. Asamoah Gyan
2.Sulley Muntari/ kelvin Prince Boateng
3.Andre Ayew

KENYA
1. Dennis Oliech
2.Vicent Wanyama
3. Mcdonald Mariga

MALI
1.Seydou Keita
2. Frederic Kanoute
3.Mahamadou Diarra

SENEGAL
1. AL Hadji Diouf
2.Henri Camara
3. Sadio Mane

SOUTH AFRICA
1.Benni McCarthy
2. Sibusiso Zuma
3. Siphiwe Tshabalala

TANZANIA
1. Mbwana Ally Samata
2. Mrisho Ngassa
3. Athumani Iddi

TOGO
1. Emanuel Adebayor
2. Kader Toure
3.Fodoh labah

UGANDA
1.Emanuel Okwi
2.Godfrey Walusimbi
3.Denis Onyango

ZAMBIA
1. Clatous Chama ( nafikiri Yanga wanamjua vizuri huyu)
2. Colins Mbesuma
3. Christopher Katongo

HONDURAS
1. Wilson Palacios
2. Maynor Figueroa
3. Pavon

COSTA RICA
1. Paulo Wanchope
2. Bryan Ruiz
3. Keylor Navas

MEXICO
1. Rafael Marquez
2. Javier Hernandez
3. Giovani Dos Santos

TRINIDAD AND TOBAGO
1. Dwight Yorke
2. Kenwyine Jones

USA
1. Clint Dempsey
2. Landon Donovan
3. Tim Howard

ARGENTINA
1. Lionel Messi
2. Gabriel Batistuta
3. Javier Zanetti

BRAZIL
1. Ronaldo De lima
2. Ronaldhno Gaucho
3. Kaka

CHILE
1.Alexis Sanchez
2.Arturo Vidal
3. Marcelo Salas

COLOMBIA
1. James Rodriguez
2.Radamel Falcao
3.Juan Cuadrado

ECUADOR
1. Antonio Valencia
2.Ener Valencia
3. Christian Benitez

PARAGUAY
1. Roque Santa Cruz
2.Nelson Valdez

URUGUAY
1. Luis Suarez
2. Diego Forlan
3. Edison Cavani

AUSTRIA
1. David Alaba
2.Chrisitian Fuchs
3.Marko Arnautovic

BELARUS
1. Alexsander Hleb

BELGIUM
1.Eden Harzard
2.Vicent Kompany
3. Kelvin Debruyne

Bosnia & Herzegovnia
1. Edin Dzeko
2.Miralem Pjanic
3.Lulic

BULGARIA
1. Dimitar Berbatov
2. Stylian Petrov
3. Hristo Stoickov

CROATIA
1. Luka Modric
2.Davor Suker / Mario Madzukic
3. Ivan Rakitic

CZECH REPUBLIC
1. Petr Cech
2.Tomas Rosicky
3. Milan Baros

DENMARK
1.Christian Ericksen
2.Jon Dahl Tomasson
3.Peter Schmeichel

ENGLAND
1.Wayne Rooney
2. Frank Lampard / Alan Shearer
3. Steven Gerard / Paul Scholes

FRANCE
1. Zinedine Zidane zizzou
2. Thierry Henry
3. Antoinne Griezman

GERMANY
1. Miroslav Klose
2. Philip Lahm / Bastian Shweinstiger
3. Mikael Ballack

GREECE
1. Charisteas / Fanis Gekas
2.Karagounis
3. Samaras

ISRAEL
1.Hatem Ben Haim

ITALY
1. Alesandro Del Piero / Fransesco Totti
2. Paolo Maldini
3. Andrea Pirlo

NETHERLAND
1. Arjen Robben
2. Ruud Van Nistelrooy / Robin Van Persie
3. Wesley Snyder

NORWAY
1.Ole Gunnar Solskjaer

POLAND
1. Lewandoski
2. Jacob Blaszczykowski
3. Lukas piszczek

IRELAND
1. Robbie Keane
2. Roy Keane
3. Shay Given

ROMANIA
1. Adrien Mutu
2. Chiriches

SWEDEN
1. Zlatan Ibrahimovic
2. V. Lindeloff
3. Toivonen

PORTUGAL
1. C. Ronaldo
2. Luis Figo
3. Deco

SERBIA
1. Nemanja Vidic
2. Stankovic
3. Ivanovic / Matic

SLOVAKIA
1. Marek Hamsik
2. M Skrtel

SPAIN
1. Xavi Hernandez ( spain best player of all times)
2. Andres Iniesta
3. Raul Gonzalez / David Villa Sanchez

SWITZERLAND
1. Xherdan Shaqiri
2. Alexander Frei
3. G. Xhaka

TURKEY
1. Arda Turan
2.Hamit Altintop
3. Hakan Sukur

Ukraine
1. Andriy Shevchenko

WALES
1. Ryan Giggs
2. Gareth Bale
3. Aaron Ramsey.


Hizo ndo top three zangu za kila nchi tokea nimeanza kuangalia mpira nakuufuatilia kwa undani zaidi mwaka 1996 So usilete povu zaidi ongezea na wewe wakwako tokea umeanza kuangalia soka.
Ila kuna nchi zimebarikiwa majembe vipaji vyakutosha sijui waTanzania tunakosea wapi jamani.
Morroco mtoe chamack muweke ZYECH
 
Czech republic kuna mtu alikuwa anacheza Juventus Turin anavaa namba 11

mshindi wa balon d'or 2003 alitakiwa awe wa kwanza hapo

Pavel Nedved anawapiga goli Madrid halafu analia nusu fainal uefa
Mguu wake wa kushoto una nguvu kama wa kulia mpaka anastaafu hajulikani anatumia mguu gani
Mchezaji aina ya Santiago carzola
 
Toa griezman weka ribery

Ribery is Good ila Griezman ameprove mengi mazuri kuliko Ribery in a short time.
Pengine nikushauri upate muda umuangalie Grizii tokea alivyoanza mpaka sasa utagundua ni bora sana kuliko mbappe na Ribery.
Griezman amecheza Real Sociedad na Atletico ila still ameweza kungaa sana kuliko Ribery aliyecheza Bayern iliyojaza mafundi wa kila aina.
"Barcelona have Messi, Real madrid have Ronaldo and Athletic madrid have Griezman" hayo yalikua maneno ya kocha Diego simeone akijaribu kuueleza ulimwengu kwamba Griezman ni level za juu sana the best after Messi and Ronaldo
 
Czech republic kuna mtu alikuwa anacheza Juventus Turin anavaa namba 11
mshindi wa balon d'or 2003 alitakiwa awe wa kwanza hapo
Pavel Nedved anawapiga goli Madrid halafu analia nusu fainal uefa
Mguu wake wa kushoto una nguvu kama wa kulia mpaka anastaafu hajulikani anatumia mguu gani

Pavel Nedved. Wa czech wenyewe wanasema ndo mchezaji bora kuwahi kutokea kwao. Ila haya ni maoni yangu binafsi tu.
Nilimfrahia zaidi Petr Cech kipindi cha Euro 2004 na alivyoenda Chelsea amejituma sana na kua kati ya makipa bora kuwahi kucheza Epl.
Rosicky alikua fundi sana ila tatizo ni majeraha yalimsumbua.
Milan Baros aliibeba Czech kwenye euro akitupia goli za kutosha pengine timu aliwez kuibeba timu yao ya taifa kuliko Nedved aliyekua akingaa zaidi pale Juventus.
 
Czech republic kuna mtu alikuwa anacheza Juventus Turin anavaa namba 11

mshindi wa balon d'or 2003 alitakiwa awe wa kwanza hapo

Pavel Nedved anawapiga goli Madrid halafu analia nusu fainal uefa
Mguu wake wa kushoto una nguvu kama wa kulia mpaka anastaafu hajulikani anatumia mguu gani

Ni dhambi kubwa sana kwa mungu wa mpira hilo jina kuwekwa pembeni.

Kwa walioangalia UEFA ya 2003 anaitoa Barca ya Figo, then anaitoa Madrid ya Ronaldo de Lima wanaweza kukurushia mawe mpaka uzimie.
 
Morroco mtoe chamack muweke ZYECH

Nilimpenda chamakh kama Wenger na mashabiki wa Arsenal walivyotutambia kipindi
wamemsajili. Ila sijui alipatwa na Nn huyu mtu yaani alikuja kua flop wa hali ya juu.
Anyway still naheshimu kipaji chake maana alipokua ufaransa aliprove he was good na pia kwenye kupiga vichwa alikua hakukosi.
 
Nilitaka kuliongezea hili jina, nakumbuka Dr Leakey alituambia kwamba nchi nzima ni yeye Rais walikuwa wanaruhusiwa kuendesha aina fulani ya gari.

Ni kweli Haghi alikua mzuri. Ila Adrian Mutu ndo the best skilled and talented Romanian player ila tatizo alikua hana discpline nad kashfa za madawa ya kulevya. Ukipata nafasi ingia youtube umcheki Mutu alivyokua mashuti mazito. Alisajiliwa na Chelsea kwa dau kubwa sana ila baadae akaja fungiwa na ndipo akatimkia Juventus
 
Back
Top Bottom