Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic

Hahaa! Naona product za mulugo div. 5 kwa shule za kata hatimae chuo cha kata wamevimba,povu linavowatoka si bure! Wameshikwa pabaya
 
Yani saut ni bora kuliko udom?acheni utani bana.
 
Achana naye hajui anachokiandika.

Division five muhimu sana hommie. Kupunguza failures mtaani. Mtu badala aangalie kaweka nini kwenye bongo yake anatafuta rank ya vyuo.
 
Division five muhimu sana hommie. Kupunguza failures mtaani. Mtu badala aangalie kaweka nini kwenye bongo yake anatafuta rank ya vyuo.

hahaha ana bahati huyo angesoma UDOM wangekula kichwa mazima
 

Nadhani taarifa hii ni ya zamani kidogo maana kwa kigezo cha ukubwa nadhani UDOM ndio kubwa kuliko vyuo vyote Tanzania.
Hapa sijagusia suala la ubora maana ni jambo mtambuka kidogo
 
We jamaa na post zako za kipumbavu kaandike facebook dunya wewee...
Ndo walewale mnauza juisi na soda za baridi mabibo na nyie mnajifanya wanafunzi...
Kaa unachambua upuuzi wako huo,wenzio wanatengeneza maisha.....
OVER!!!!
 
angalieni source ya habari xo mnabaki kulalamika tu! nani humu ndani hajui maana ya blogspot hata mm ni brogger xo naweza kuandika kitu chochote ambacho nahis kina maslai kwang! nahitisha kwa kusema mtoa status acha ufinyu wa kufikili kwa kutuletea habar uchwara kutoka ktk blog za huko kwenu tandare
 
Unatumia vigezo gan kukipima chuo. Naiona orodha ya vyuo kulingana ukongwe, udom haiwez kuwemo.
 
uliepost utakuwa mwanafunzi wa udsm bila shaka
 

Una Bahati Usinge au Wasingeiweka tu SAUT Pangechimbika hapa JF Kwani Halipingiki SAUT Ni Noma na Hivyo Vyuo Vitatu Juu Yake Wasipojipanga tu SAUT Will take the Lead! Nipo Proud Sana na Mno Kuwa Among SAUT Products na Degree Yao Inanipa Kiburi na Jeuri Mno hapa Mjini na Naringa Ninavyotaka. I Salute UDSM, SUA na MZUMBE Kwani hata Baadhi Ya Assistant Lecturers, Lecturers, Senior Lecturers na Professors Wangu Walionifundisha na Kunipika hivi Nilivyo Leo Walitoka ktk Hivyo Vyuo Vitatu Juu Ya SAUT. Wa Vyuo Vingine Mtanisamehe Kwani Ni Wachanga Wa Kufikiri Kama Uchanga Pia wa Vyuo Vyenu.
 

Source ya maelezo yako ikipatikana ntathibitisha la haikupatikana bac utakuwa na JELOUS(WIVU) na UDOM sema endelea kukipandisha chat tu endelea tena na tena mkuu..
 
Hamna tatizo kwani nadhani kilianzishwa ili kupokea wanafunzi wengi kutoka shule za kata.
 
Yaani source ni blogspot?? Anyway ni mawazo ya blogger hayo

niupuuzi kulinganisha udom na vyuo kama udsm mzumbe au sua angalia kina umri gani? na capacity ya wanafunzi inaochukua tuwape mda I believe in the long run kitakuja kua super practice labda laama zako hamisia kwenye management ya chuo au njoo na wazo mmbadala chuo kimeshajengwa tena kwa mkopo ambao hata ww si ajabu analipa indirect way yale majengo tufanyie nini? tuyafanye guest house za wabunge pindi waendapo Dodoma ! au tueze makazi come wih solution everyday UDOM
 
Nahisi huyu jamaa ali-disco UDOM sasa kaweka biff.VENDETTA za nn kama ulikuwa unazurura tu husomi!!?Mijitu mingine bwana!

Tafuta chuo usome,acha ujinga usiokusaidia!
 
SAUT huwez linganisha na UDOM SAUT haina hata DR hata mmoja wala Profesor wakati UDOM wamejaa, hata Mzumbe kiko kama SECONDARY vile
 

Mbona hayo maneno umeshambulia kwenye post yangu as if mimi ndo nimeisema udom vibaya? Mimi kusema source ni blogspot ndo umenielewa vibaya au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…