Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Udom ni kama sekondari ya kata
Acha dharau wewee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udom ni kama sekondari ya kata
Sina hakika kama unafahamu unachoongea au unachoketetea. Huo mataala unaoongea hujui nini? Pili unapoongelea suala la "ranking" na hasa za vyuo vikuu suala siyo mtaala...njoo nikupe shule we mburura. Nitakupa mfano mmoja wewe mwente ujauzito wa akili. Shule za seondari za Tanzania wanatumia Muhtasari (syllabus) moja labda kwa wale wanaofuata mfumo wa Cambridge. Je wafakiri hilo latosha kusema kuwa "quality" au hata ranking za shule za sekondari zote ni sawa. We mburura hujui unachokitetea, isijekuwa wewe ni mwalim wa UDOM (na siyo mhadhiri wa UDOM). Kwa kweli wanafunzi watakuwa wameumia kama hii mimburura ndiyo iliyopewa kazi ya kufundisha Vyuo vikuu.Mi cwez kushindana na ----- ka ww usiyejua udom na udsm wanatumia mtaala m1......KILAZA kwel af et nakimbiza udsm sema sio mbaya endelea kukimbiza VILAZA wenzio bhana....

!
!
Sio kwamba sikiheshimu hiki chuo ila graduates wake duh...........yaani kuna binti kapata kazi hapa ofisini kwetu kwa kupigiwa pande na anko wake duh ni majanga. Kesho nitapost barua yake ambayo kawapiga watu barua ya onyo kwa kimombo hahahahahaha kaanko kangu ka darasa la sita pale st annie kanamtoa nishai mbaya
!
!
yaani hicho kimombo ni cha ajabu sana...najiuliza kafauluje huyu sipati jibu
!
!
sio kwamba sikiheshimu hiki chuo ila graduates wake duh...........yaani kuna binti kapata kazi hapa ofisini kwetu kwa kupigiwa pande na anko wake duh ni majanga. Kesho nitapost barua yake ambayo kawapiga watu barua ya onyo kwa kimombo hahahahahaha kaanko kangu ka darasa la sita pale st annie kanamtoa nishai mbaya
!
!
Udom ni chuo cha kisiasa!
Hivi hakuna primary ya kata tukailinganisha nayo...Udom ni kama sekondari ya kata