Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic

Mi cwez kushindana na ----- ka ww usiyejua udom na udsm wanatumia mtaala m1......KILAZA kwel af et nakimbiza udsm sema sio mbaya endelea kukimbiza VILAZA wenzio bhana....
Sina hakika kama unafahamu unachoongea au unachoketetea. Huo mataala unaoongea hujui nini? Pili unapoongelea suala la "ranking" na hasa za vyuo vikuu suala siyo mtaala...njoo nikupe shule we mburura. Nitakupa mfano mmoja wewe mwente ujauzito wa akili. Shule za seondari za Tanzania wanatumia Muhtasari (syllabus) moja labda kwa wale wanaofuata mfumo wa Cambridge. Je wafakiri hilo latosha kusema kuwa "quality" au hata ranking za shule za sekondari zote ni sawa. We mburura hujui unachokitetea, isijekuwa wewe ni mwalim wa UDOM (na siyo mhadhiri wa UDOM). Kwa kweli wanafunzi watakuwa wameumia kama hii mimburura ndiyo iliyopewa kazi ya kufundisha Vyuo vikuu.
 
!
!
sio kwamba sikiheshimu hiki chuo ila graduates wake duh...........yaani kuna binti kapata kazi hapa ofisini kwetu kwa kupigiwa pande na anko wake duh ni majanga. Kesho nitapost barua yake ambayo kawapiga watu barua ya onyo kwa kimombo hahahahahaha kaanko kangu ka darasa la sita pale st annie kanamtoa nishai mbaya
 
kuna siku nilisema mwenye diploma ya elimu ni bora kuliko mwenye degree ya elimu pale udom..basi jamaa walimaindi sana!!
 
UDOM imekuwa tishio sana humu JF kwa nini msitaje vyuo vingine? Au mti wenye matunda ndio unapigwa mawe! UDOM pigeni msuri fainari kitaaa kitaeleweka tu.
 

kumbe kapigiwa pande na anko wake,sasa unalaumuje chuo?ina maana udom ndio inachukua wanafunzi wenye ufaulu mdogo?si kweli hata chembe
 

Hahahahah
 
mbona unawasiwasi kijana tatizo nn?udsm ikiwa yakwanza inakusaidia nn ww?
 
Baadh ya wabongo kwa kuongea uharo hatujambo. Sijui ni uelewa finyu....! Unataja udom (university) afu kwenye maelezo unasema ni "secondary"? Kwel akil zingine zina ukurutu.
 
jamani mbona chuo chetu hkipo kwenye hyo listi kinaitwa Mulugo univaasiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…