Top ya madada wenye Chura za haja hapa JF

uchochezi huu chief...
 
Yaani hii list lazima iwe fake maana the ideal JF woman ana;

1. Chura Kali range rover 2018 wanadai
2. Rangi kama ya mtume
3. Sura ya yosefu
4. Swagger za Kim kardashian

Sasa uje umwambie mtu hao 9 tu ndio wanahiyo kitu akati anakeshea kwenye pm za watu ambao hata hawajatajwa hapa!

Hivyo bila hiyana namuunga mkono mdau hapo juu ni fake mpaka ni muone na wangu kwenye list!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…