Najaf
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 1,505
- 2,393
Mkuu mwezi mtukufu huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini Njoo Nikukague...nataka kuthibitisha kama kweli huna chura...Chura wapiiii,maneno tuu ya zero hayo,.
uchochezi huu chief...1😀emiss
Huyu atakuwa na Chura flani hivi amaizing imebinuka kwa juu ambayo mtoto wa kiume ukiingia kichwa kichwa lazima uliwe hapo maana huwezi kuchomoka,
Nafikiri wanateseka sana wale waheshimiwa wa pale dodoma punde tu apitapo huyu bidada .
2:Mama Sabrina.
Huyu anaonyesha tu kachura kake ka mkopo maana kana shawishi unaweza kumchukua na kwenda nae bank ukaombea mkopo bila mashart yeyote.
3:sky Eclate .
Huyu siyo mzee kama mnavyofikiria huyu ni type ya kina wema sepetu Chura yake imejigawa na hipsi za kutosha hapa ukiwa na Vitz yako utaona Aibu ata kumpa lift utabaki unajisemea tu kwa nini haukuwekeza na mwisho uje kumiliki ata BMW.
4:Shunie
Huyu Chura yake ni ile akitembea basi kama mko kijiweni wote macho kwake ni ya kutingishika balaa hapo usijiroge ukaenda nae mpaka ATM nakwambia utatetemesha Noti mpaka na hiyo kadi utamuachia.
5:Mumu
Huyu ndio nashindwa kabisa ata nimuelezaje maana ni balaa na kale kachura kake akivaa nguo flani hivi kanajichora yaaani usidhubutu kumpeleka kwenu hapo utaonga mpaka Nyumba ya urithi.
Ukiwa nae huyu unatakiwa kuwa na uangalizi wa Ziada.
6:Miss Natafuta
Huyu ana chura ile ya ki Agnes masogange(r.i.p).
Hapo usisubutu ata kwa uongo na kweli kujidanganya kwamba unamiliki aset za kutosha ukiwa nae huyu bidada basi kila kitu utaandika ni mali yake..
7.Miss Chagga
Hapo wengi wanasema huyu bidada ni flat kwa kuwa ni mchaga ila wanachoshindwa kutambua kwamba huyu siyo mchaga pure amemix kama ni Raia basi tuseme chotara.
Ana chura na hipsi flani hivi ya kizaramo yaani ile akipita basi mtaa mzima unasimama hapo wanaume wakwale msisubutu ata kidogo kutia mguu mtatelekeza familia na mali zenu.
8.Mzigua90
Huyu kusema kweli ni vigumu ata kumuelezea chura wake lazima upate na kigugumizi maana ata wale wachache walimuona wamesibitisha hilo,
Wale wakina mangi wenye viduka vya kutafutia maisha msijaribu hapa mtarudi kwenu kwa miguu hiyo gari ni kubwa kama brand basi ni Range new model 2018 .
9.Yna4.
Huyu msimuone hivi ilifikia mpaka mr zero iq kumuanzishia mada moja matata lakini akakosa na kuambulia za uso.
We unafikiri na jichura lake lile angekubali kuwa na mimi mwenye Tecno,
ata hivyo sikuwa na haya hapa watu na I phone zao ndio wenye haki miliki ya kusave ata namba yake .
10.....
Endelezeni Ligi....................!
Ohooo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Siamini Njoo Nikukague...nataka kuthibitisha kama kweli huna chura...
[emoji23][emoji23][emoji23]Kanipamba sana mpaka nimejichunguza hapa [emoji23][emoji23]
Unasemaa??Kama sipo kwny list basi utafiti wako sio wa kweli
Naona mmezimaOhooo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mm kitamboooooNaona mmezima
Mimi naanzaje kupinga? Watu na vyura vyenu mjimwaye mwaye tuNa wewe jamani usiniambie unanipinga halafu ukanikimbia mazima naona
Mngh!Mi sina chura mkuu. Alokwambia kakudanganya.
Hamu gani ww[emoji56][emoji56]Hahaha asubuhi wew hufiki...
Na hamu zote zilee
Ile photo inasemekana ni weweMm kitambooooo
IPI jomoniiii[emoji23]Ile photo inasemekana ni wewe