Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mambo ya chit chat hayoo. Mtu anajua wenye chura kwa kuandikaKuna mtu hapa alishawahi kuwaona hao uliowataja ana kwa ana, maana hizo mnaita avatar uhalisia wake ni 50/50.Je wote kweli ni ke? je kama wengine wana avatar za kike ili waweze kufanya utafiti! Tuendelee tu kufurahia chatting wakuu!
Sorry to say that.