Top ya madada wenye Chura za haja hapa JF

Ndio mana nakukwepa maka akee[emoji23][emoji85][emoji125]
Km nakuona vile shunie na wezere yako, nakuomba usije nyumban mwezi huu mtukufu mie nafunga mwenzio
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio mana nakukwepa maka akee[emoji23][emoji85][emoji125]
Lakini mie siwez kuwa na mambo hizo kwako, nimeacha kila jambo sasa nafanya ibada tuu!! Nishakula ujana vya kutosha, kiasi hata ningekufa siku kadhaa kabla ya kutubu basi pepo ningeisikia kwa mbali[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Jamani maka akee Mungu akufanyie wepesi katika maamuzi uliyoamua

Back
Top Bottom