duniani kuna vijimambo jamani looo!ol in ol wenye ndoa ze2 cdhani kama ni busara kufanya huo uchunguzi other wise 2takufa na presha za kujitakia.
dada zubeda una mambo naamini mumeo hakucheat kbs kwa namna hiiii..........
Hivi huyu ni mwanamke au?
zubeda si ni mwanamke ama ni la kiume jina?...
Mwenzangu hawa viumbe achana nao,huwawezi kwa mbinu anaweza akafanya huko na wewe akakusulubu ukashangaa..
Mungu kawajaalia kuongea na kueleweka mara anaweza akaingia akaanza kusingizia kichwa na uso kaukunja kama anatumbuliwa jibu unarudi kinyume nyume mwenyewe.