TOPIC.................Maajabu ya Maneno Ya khanga.........

Angalia na hizi,ni khanga siyo mimi.

bibi mkuna nazi kidudu kiko wazi
nakupa kanga uvae kidubwasha kisizagae
utaogopaje msumari???nawe sio mwali
Uhuru ni wako papasa utakapo
si bati si msumari tanga hakuna mwali
Mademu wakichaga ndo warembo africa nzima
usijitie wazimu....vuz. Halina umuhimu.
 
Sasa alaumiwe kwa lipi? Wewe umenunua kanga ya ujumbe huo si unataka ufikie adhira yako? Mtengenezaji katengeneza ili mwenye interest anunue!
 
Mzee una kaajira Urafiki nini ?
 
hAYA maneno kwenye kanga hii Nani wa KULAUMIWA....

View attachment 56338


tobaaaa! :shocked:
 
Sasa alaumiwe kwa lipi? Wewe umenunua kanga ya ujumbe huo si unataka ufikie adhira yako? Mtengenezaji katengeneza ili mwenye interest anunue!

hayo maneno yanajandika yenyewe
 
Napita tu. Naiona ban kwa mbaaali inakuja.
 
Muraaaa baadae tukutane kwa mama muuza tukachukue return. Nakatisha tu
 
Level unafanya kazi Urafiki/ Mwatex ama Mutex??????????????????
 
Last edited by a moderator:
Hiyo kanga anavaa nan sasa? Make ni ujumbe wa mwanaume kwenda kwa mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…