zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee una kaajira Urafiki nini ?Angalia na hizi,ni khanga siyo mimi.
bibi mkuna nazi kidudu kiko wazi
nakupa kanga uvae kidubwasha kisizagae
utaogopaje msumari???nawe sio mwali
Uhuru ni wako papasa utakapo
si bati si msumari tanga hakuna mwali
Mademu wakichaga ndo warembo africa nzima
usijitie wazimu....vuz. Halina umuhimu.
Angalia na hizi,ni khanga siyo mimi.
bibi mkuna nazi kidudu kiko wazi
nakupa kanga uvae kidubwasha kisizagae
utaogopaje msumari???nawe sio mwali
Uhuru ni wako papasa utakapo
si bati si msumari tanga hakuna mwali
Mademu wakichaga ndo warembo africa nzima
usijitie wazimu....vuz. Halina umuhimu.
Sasa alaumiwe kwa lipi? Wewe umenunua kanga ya ujumbe huo si unataka ufikie adhira yako? Mtengenezaji katengeneza ili mwenye interest anunue!
Level unafanya kazi Urafiki/ Mwatex ama Mutex??????????????????Angalia na hizi,ni khanga siyo mimi.
bibi mkuna nazi kidudu kiko wazi
nakupa kanga uvae kidubwasha kisizagae
utaogopaje msumari???nawe sio mwali
Uhuru ni wako papasa utakapo
si bati si msumari tanga hakuna mwali
Mademu wakichaga ndo warembo africa nzima
usijitie wazimu....vuz. Halina umuhimu.