TOPIC-Urination ndani ya Uke huzuia kutunga kwa Mimba

TOPIC-Urination ndani ya Uke huzuia kutunga kwa Mimba

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Napenda kuuliza wataalamu wa mambo haya.Kama waliopo kwenye mahusiano huwa wanafanya tendo la ndoa bila kutumia mipira kwa njia moja au nyingine uwezekano wa mtoto wa kike kushika mimba ni rahisi sana.

Wadada wengi hupenda wakati tendo la ndoa hupenda wanaume wa urinate kidogo ndani ya uke iwe baada ya ejaculation au kabla..Sasa Je njia hii humsaidia mtoto wa kike kutoshika mimba kama ikitokea mbegu zile kukuta hio URINE TEAL.
Mytake-kama si mtaalamu kaa pembeni.
 
Mimi siyo mtaalamu wa masuala haya, nimekaa pembeni.
 
Kwa kfupi mkojo na sperms haviwezi toka pamoja so sperms zikitangulia zikaambaa ambaa kwa fallopian tubes definately mimba itatungwa since mkojo utakuja baadae wakati sperms zilishadakwa bse it shall take time wewe kurinate
 
Mkuu umejibu,ila anataka kujua kabla urine ikawekwa ktk vagina,halafu baada ya ngono pia akakojoa urine kidogo.Mimba inaweza kutungwa?
 
khaaaa yaani atoe kojo lake ndani ya mwenzie? Loh duniani kuna mambo....
 
huwezi kojoa wakati unamwaga bwana nani kukudanganya bwana
 
kabla uja ejaculate unaweza kufoc mkojo kdg ndani kumfurahsha umpendae,alafu mwisho wa game ndo toa wazungu.je mimba itashka
 
Back
Top Bottom