Topic ya firstlady, wanaume weupe

Somoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
754
Reaction score
282
Nilikuwa sijaiona topic yako ya 6 dec. hehe. Ndio kwanza naiona leo, nimeipenda.Nazani, wanaume weusi sana wa kiafrika na wanaume weupe sana wa kizungu, tabia zao zinafanana sana tu. Sababu wapo wengi sana barani kwako kwaiyo sio hadim kuwapata. Na wanawake upenda kitu hadim, afrika mwanamme mwenye rangi kidogo tu upendwa na wanawake wengi, sababu ni hadim kuonekana.

Ukija kwa wazungu, wanaume weupe sana wapo kibao na ni raisi tu kuwapata. Na wale wazungu weusi kidogo sio wengi sana, hadimu kuwapata. Kwaiyo mwanamme mweusi mweusi kidogo wa kizungu umpendwa na wanawake wengi. Ndio sababu wanaume wenye rangi hadim barani kwao ujiskia sana.

Lakini mwisho wanao win katika ndoa ni wale wasio kuwa maarufu. Na hata kwa wanawake ni hivo hivo. au nakosea?
 

somoe, mambo mpenzi?
 
hic hic...pombe sio chai...hic hic...hapa mnasema nini cheupe? hic.
 
kurukia wanawake za watu:A S crown-1:

Huyo anastahili :whip::whip::whip: tena zisizo na idadi.........
Mumeo hajambo lakini? Mwambie vipi kuhusu zile pesa zangu alizokopa akamweka mkewe rehani?

LOL
 
Ni kweli kabisa ukitaka mke wa kuishi nae kwa aman oa wa kawaida tu, anayekuvutia kwa wastani na umpende(sio uoe yule ambaye kwa mtizamo wako ni mbaya). Hawa warembo sana wanaringa sana, wanafaa kumegwa tu na unampa hela yake unaishia unamwacha anendelea kuvaa kufuli zake wala usimsubiri atakuteka akili ukaamua tofauti na kanuni baadaye ujute. Halafu warembo wana bahati hao hata aachwe na wanaume wangapi utakuta bado mwanaume mwingine anaingia mtegoni akidhani wanume waliopita hawakujua kum-handle vizuri lakini muda si mrefu nae anamwaga manyanga, the list goes on.........!
 

Mh hiyo yako ni roho mbaya sasa, waschana wengine ni wazuri na mioyo yao hata tabia pia nzuri, unaweza mmega uka mwacha ukaenda kwa wakawaida ndo kimeo hafai, sikila mschana mzuri anajiskia. Kuliko uende kwa nia ya kummega mdada wa watu anaejiheshim kisa uzuri wake ndo unakufanya usimpende, bora ukanunue Ohio.
 
dah naona wachangiaji wengi wa hii mada ni akina dada na mamas sijui tamu sana au
 

Mie nzuri, wa vyote natabia pia. simegwi na wengine, mume wangu tu basi. Tatizo wanaume unichangamkia chapchap na unikodolea macho kunitamani mbele ya mzee. Naofia mzee hasiende akabeba mke hasie na mvuto ili haepushe nafsi yake, mmmmmmmmmm:embarrassed::redfaces::embarrassed::redfaces::embarrassed::redfaces:
 
Naona waliochangia hoja ya thread wachache kweli, wengi wameongea nje ya topic. Kuna kabinti nilikapenda sana, ila kalivyomuona ndugu yangu alivyo WHITEEEEE kakawa kanacheka-cheka kila white akiongea. Masikini wa mungu, jamaa akakaomba namba ya simu akampa. Basi kwa vile mi nilikuwa mkweli na muwazi kwake, basi akawa anajua ndugu zangu wote hivyo. Akawa anawaambia shoga zake amepata dume la nguvu white, hataki tena weusi kama Pepsi. Ilimchukua siku 2 tu kuvuliwa nguo na white. Baadae white akamgeuzia kibao, eti demu wake kutoka sweden amerudi kwa hiyo hawez kuendelea nae. Cha ajabu, kabinti kakawa kanamsujudu white, kanampigia magoti eti amsamehe asimuache kwan bado anampenda. Tangu siku hiyo ndo nikaamini akina white ni HATARI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…