Topic za economics za high school

Topic za economics za high school

madigida

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
40
Reaction score
2
Habari zenu wana jamii. Naomba msaada wenu kwa mwenye ufahamu, nataka kujua ni topic gani za somo la uchumi zinazo fundishwa katika high school. Pia nitafurahi kama nitafahamishwa ni vitabu gani vinavyo faa au tumika.
Msaada wenu ni muhimu kwa wakati huu.
 
Waungwana nami naomba kujua Vitabu vinavyofaa kwa HKL ili nimnunulie mdogo wangu atakaefanya mtiani mwaka kesho kama PC.

Natanguliza shukurani kwenu.
 
Jamani mim naomba kusaidiwa Shule za A level nzuri ni zp kwa sababu natafuta shule; Nahitaj msaada wenu Tafadhali
 
Hivi kumbe na advance paper one wamewawekea theory of consumer behavior du
 
Waungwana nami naomba kujua Vitabu vinavyofaa kwa HKL ili nimnunulie mdogo wangu atakaefanya mtiani mwaka kesho kama PC.

Natanguliza shukurani kwenu.

Wakuu hakuna mwenye ufahamu na hili jambo? Mbona kimya wasomi mko wapi????!!!!
 
subiri wavivu wenzio waje,we dume zima utasomaje HKL?

Hizo ni dhana potofu za kizamani kua kuna masomo ya kike na kiume. Inaonyesha ni jinsi gani hujaelimika ila umesoma tu.
 
Tafuta vitabu hivi:
1. An Introduction To Modern Economics by
.Hardwick
.Khan &
.Langmead

2. A Textbook of Economics
by
.Hanson

3. Principles Of Economics
by
.Dwivedi,
 
Tafuta vitabu hivi:
1. An Introduction To Modern Economics by
.Hardwick
.Khan &
.Langmead

Hiki kitabu nakitafuta sana Aisee..vip unaeza kunielekeza wapi nitakipata Mkuu
 
Kama una access na mtu yuko Uganda kitabu cha Econ p1 ni kizuri hatari. Kina cover ya yellow hivi nmesahau author wake. Its been long. Nikikumbuka nikakuambia.
 
Author-Stanlakes,Introductory to Economics na vile vya nyambari nyangwine very helpful..
 
Kama una access na mtu yuko Uganda kitabu cha Econ p1 ni kizuri hatari. Kina cover ya yellow hivi nmesahau author wake. Its been long. Nikikumbuka nikakuambia.

ninacho,kama atafika dau,nipo tayari kufanya nae biashara.over
 
Back
Top Bottom