Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
mmmhhh watasigizi pombe..
shetani au nyie wanawake ndo mnatufanyaga mpaka tumekuwa hivi ..
mmmhh jibu huta kosa dear
klorokwin kashasingizia shetani.
Wanaume wote ni wacheza mpira maana wakifungwa utasikia ooh uwanja ulikuwa na nyasi mara mpira ulikuwa unateleza, kocha kapendelea. Ila wakifunga utasikia " tulifanya mazoezi ya kutosha"