Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 60
Habari wana JF,
Nilitengeneza toroli kwa lengo la kufanya biashara ndogondogo na kuepuka gharama za kodi za fremu ila kutokana na sababu fulani nikashindwa kulitumia.Ni kubwa na linaweza kusukumwa.Linafaa kwa biashara nyingi kama vitafunwa,matunda,kahawa,maji na soda nk.Unaweza kulitumia kwa shughuli nyingi sana.Pia nina mwamvuli mkubwa ambao unaweza kuutumia katika hiyo biashara yako. Picha naona zimenigomea kuweka ila ninaweza kuzituma kwa whattsup na gmail,we nipm au nitext tu.
Tuwasiliane 0765 796778 meseji,simu na whatssup,pia [email protected]