kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kama inawatumia wabeba bunduki sembuse wakata viuno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yenu ya CCM malizeni huko hukoNipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa.
Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa kuachwa kabisa.
Pumbavu mkubwa. Nani ni mwanaCcm.Mambo yenu ya CCM malizeni huko huko
Wakiutangaza mkoa unistue nijue kama ng'ombe zitabaki mkoa wa Kagera au Zitahamia ChatoNipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa.
Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa kuachwa kabisa.
Hilo unalolisema lingehusu serikali ya wananchi wa Tanzania, hii ni serikali ya CCM ndiyo sababu hatutumii bajeti ya bunge tunatumia pesa za Rais Samia, subiri tutakapoanza kutumia katiba uchumi ukitengemaa.Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa.
Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa kuachwa kabisa.
Bend ya serikali ni ipi?Kwa kuwa CCM inunda serikali ndo Tot imekuwa mali ya serikali? Tumia akili basi.
Zipo band za jeshi, ziko vizuri tu, kinachosumbuwa hapo ni mfumo, ccm ni mzimu iko everywhere.Serikali haina bendi inayopiga vyema kama T.O.T.....
Mbona huhoji kuwaalika akina Ally Kina na Diamond katika dhifa za taifa?!!!!!
Mwenge Jazz band and likes.Bend ya serikali ni ipi?
Kamanda, huo mwenge ni kama hirizi ya CCM, kwa hiyo ili kuadhimisha tambiko lao ni lazima nao wawepo ili kusherehesha kafara zao.Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa.
Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa kuachwa kabisa.
Kwa hiyo kila dhifa ya taifa zichukuliwe bendi za Jeshi?!!!Zipo band za jeshi, ziko vizuri tu, kinachosumbuwa hapo ni mfumo, ccm ni mzimu iko everywhere.
Timu ya Yanga yenyewe ni ya ccm ila si rahisi mtu kukubali kama haijui nchi hii vizuri.
Pumbavu mkubwa.Serikali haina bendi inayopiga vyema kama T.O.T.....
Mbona huhoji kuwaalika akina Ally Kina na Diamond katika dhifa za taifa?!!!!!
🤣🤣Relaaaax mkuuPumbavu mkubwa.
Acha kuleta upuuzi.🤣🤣Relaaaax mkuu
Unajikera mwenyewe komredi 🤣🤣Acha kuleta upuuzi.
Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa.
Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa kuachwa kabisa.
I think you are righ on the one hand, yes, mfumo wa katiba na sheria unaruhusu mambo hayo kwa sababu ni mfumo wa katiba na sheria wa chama kimoja. Hawavunji sheria.Hayo yanahitaji utashi unaosimamiwa na Katiba. Tofauti na hapo tegemea makubwa zaidi!
Mkuu kwa sasa ujue ccm si chama cha siasa. Sijuhi kama kiliwahi kuwa!I think you are righ on the one hand, yes, mfumo wa katiba na sheria unaruhusu mambo hayo kwa sababu ni mfumo wa katiba na sheria wa chama kimoja. Hawavunji sheria.
Lakini, hata kama sheria inaruhusu, CCM wangekuwa ni a responsible, peace and security minded party as they claim to be, they would never allow such things.
Haya mambo ya upendeleo wa kisiasa wa wazi wazi yanaligawa taifa. Unawezaje kuhubiri utangamano wa kitaifa, amani na utulivu wakati wewe chama tawala ndio kinara wa kujenga uhasama wa watu kwenye tasnia ya siasa, kinara wa kujaza chuki miongoni wa watu, kuwafanya wananchi waichukie serikali, na kufanya uchochezi kwa kupmda roho wa migawanyiko katika jamii ????