Total kujenga bomba la mafuta la Kenya

hizo ni comments za watu kama mimi na wewe..SMH
Incase haujaelewa kinachoongelewa hapo na watu kama mimi na wewe . Its priority ya Uganda kati ya kujenga reli to Rwanda or S.Sudan.. Hawa jamaa wana assume kwamba reli ya Kenya itakua tayari ilishafika Kampala. Wanachoongelea hapo ni what next after Kampala. Kulingana na hio discussion, Kenya ingeprefere Uganda wajenge kwenda rwanda kwanza na Uganda priority yao ni S.sudan...in that case Kenya will loose out to Tz in a race to get to Rwanda+DRC...comprende???
 
Wasisahau Alshababu wanahamu nalo sana hilo Bomba, wakimaliza tu kulijenga wazee wazima wanatia timu kuliRostisha. "PATAMU HAPO".
 
Achana na incase
You have already lost. Forget about SS to join your pipeline. Magufuri is a game changer. Hivi mnakumbuka mlivyotaka kuwa support EU kwenye swala LA EPA nahuku walikuwa wamewawekea vikwazo SS name Burundi? Museveni na Magufuli ndowalisimama kuwakataa nakuwambia wasiingilie SS aunt Burundi kwani mambo ya Africa tutayamaliza sisi
Mnafiki Uhuru Kenyatta hakuuzulia hicho kikao. Ruto alikuja lakini alinuna mutation wote. Leo hii SS nimjinga kukubali kuungana nanyie nyangau mnaemkumbatia mzungu?? Think twice
 
ebu weka na bomba la TAZAMA... alafu weka na mradi ujao wa kutoka kongo rwanda to tanzania... ili apate hasira zaidi
Hahahaha. Huu mradi wa Uganda is big deal. Naona kwa muono wangu kama ifuatavyo.




 
Hakuna guarantee oil prices will remain the same by the time you start exporting oil through Lokichar-Lamu pipeline.
 
Reactions: Oii

Sasa wewe unatuletea dezo dezo za kwengine, shiriki kwenye mada za JF na WanaJF wenzako, hata mimi hapa nikitaka naweza nikaleta screenshot za Watanzania kwenye forums zingine, lakini inabidi nishiriki kwa kila forum kivyake.
 
Mnapenda nchi yenu alafu umesema mnakula rushwa na makitu gani? Tribalism...sasa hapo upendo upo wapi..as nafahamu mtu anayependa nchi yake..hawezi penda rushwa wala ukabila..!! Nyie mnachekesha sana
 
Sasa wewe unatuletea dezo dezo za kwengine, shiriki kwenye mada za JF na WanaJF wenzako, hata mimi hapa nikitaka naweza nikaleta screenshot za Watanzania kwenye forums zingine, lakini inabidi nishiriki kwa kila forum kivyake.
Sindano imeingia sehemu yake husika. SS ni Museveni. Acha ufala wewe
Wakenya wenzako wasomi wanalitambua
 
It's not just about patriotism. It's also about looking at the future. Imagine we discover oil in other blocks within kenya especially in the Eastern parts like garrisa. Sa tutaitaji kuipeleka UG kutoka huko? Lamu area is also a prospecting area. Going the UG route would seem stupid when you think about it this way.
 
Nimesoma juzi gazeti la kenya wanasema kenya 600M hawaeleweki nao hawa
 
Kakopeni hela tena kwa wachina waichukue bandari ya mombasa kama compasantion ya deni Lao kama Sri Lanka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wazee wa kujikweza kazi mnaloo buda
 
Wakenya mnajipa hope sana wanachofanya total ni Ku win pande zote, Mipango Imeshasetiwa Tz kitambo sana na Mikataba ishasainiwa sasa huko Kenya amekuja tu, wameongea na kuweka commitment na sio lazima iwe fulfilled, wala hawajasaini kitu halafu bado mnachekacheka
 
Tatizo ni kwamba watz wengi mko na emotions nyingi sana, arguments zenu haziangalii beyond emotions .. Sasa unatumia siasa za EPA kufanya arguments za pipeline, like seriously!


Sudan inanunua bidhaa nyingi sana za Kenya, ilhali kuna arrest warrant ya rais wao, Juzi rais wa Sudan alitangaza mpango wa reli hadi ethiopia na S.Sudan, tena iunganishwe hadi uganda na kenya... Kumbuka Sudan na S.sudan haziskizani vizuri...lakini hii ni biashara, mafeelings eka kando! Tumia logic instead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…